Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

.....ni kweli ccm huwa inamuelekeza jaji Mutungi nini cha kufanya, sasa baada ya kuona mapandikizi yao yanapigwa chini CDM kwenye chaguzi za kanda amekuja na kauli eti anafuatilia kwa makini yanayoendelea kwenye chaguzi za CDM, hii ni aibu kubwa sana, haiwezekani mtu ukakubali kutumiwa na chama cha siasa sababu tu wanakupa ugali, kama kweli unajiheshimu waachie hiyo ofisi yao, vinginevyo atadharaulika sana na wananchi, haya wanayoyafanya kwa kupitia ofisi ya msajili yalishapitwa na wakati zamani sana.

.....Hivi ccm pamoja na kujiita chama tawala, japo mimi siwaiti hivyo, nyie ni chama dola mko madarakani kwa nguvu ya bunduki, hivi bado tu mnahamu ya kuvionea vyama pinzani ili iweje? muibe madiwani, mnunue wabunge, muwatishie maisha, haya yote kwasababu bado mnaitaka nini hii nchi?, kama sababu ni kutawala, mbona mpo madarakani toka tupate uhuru!...hivi mnajielewa kweli nyie..nadhani kupima akili mara moja moja sio kosa, hebu tuwe na tabia hiyo.
 
Lini ACT wakawa na ofisi?

Huyo bwana Zitto anajua muda wake wa kuwa mbunge umeisha anatapa tapa
Nakuhakikishia huwo upumbavu ufanyeni unguja na bara lakni kwa Pemba tutaw .afi.,ra.

baada ya chaguzi WA 2015 Kuna mjinga mmoja jina kapuni hapo kijijini ccm ni yeye na anajifanya mwamba alikwenda kuongea na policcm ili wakapige vijana WA hapo baada ya taarifa kupatikana vija na walijipanga na policcm walipewa taarifa hiyo. Policcm hawakuenda na hiyo mfitini aligomewa na kila kitu alijifanyia mwenyewe alifanya harusi walihudhuria baadh ya família yake tu.

Nyinyi ccm msiwachongeee wenzenu Pemba si unguja wala bara wanayaweza na wala hawajali chochote kwa sababu mnajeshi.
 
sijasoma maelezo yote kwa sababu ya ufinyu wa muda ila swali la msingi je ACT WAZALENDO wametoa taarifa kwenye vyombo vya dola kuhusu hizo tetesi? na je ikigundulika ni udaku na propaganda za kisiasa wako tayari kuchukuliwa hatua kuhusu huu uvumi
Ndugu hayo hayajaanza leo wala jana nikawaida kwa ccm kuayafanay hayo na watu kupigwa ikiwa umgeni na hujui ni bora unyamaze. Wakashitaki wapi ambapo serikal itasikiliza.

Wataofanya hujuma wakipataikana wapigwe moto.
 
....matamko ya namna hii ndio yanayotakiwa sasa, mara ngapi vyama pinzani vinalalamika kufanyiwa rafu na ccm na hakuna lolote la maana linalofanywa na vyombo vya dola dhidi ya hali hiyo?,wacha sasa wajilinde na kuzilinda mali zao, imetosha sasa!, huenda hao watu wakaogopa sasa.
 
Nimefuatilia kinachoitwa Press conference ya aliyekuwa Waziri Kiongozi na baadae Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mzee Seif Sharif Hamad iliyofanyika Leo Zanzibar.

Katika hiyo Press conference nimegundua kuwa Mzee Seif Sharif Hamad amepungukiwa hoja Kabisa.

Hoja ya kwanza Mzee wangu Maalim Seif Sharif Hamad anadai Katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi Komred Mzalendo Dr. Bashiru Ally Kakurwa ameingia Zanzibar kama mtawala wa wazanzibar.

Huyu mzee namshangaa sana yaani msafara wa katibu mkuu wa ccm nayo ni ajenda ya kuitia press conference?

Amesahu hata yeye akiwa Makamu wa kwanza wa Rais wa SMZ alikuwa akija bara tunasimama masaa mengi kumsubiria apite wakati huku bara hatukuwahi kumchagua kuwa Kiongozi wetu amesahu Mara hii?

Hivi sisi tuliyokuwa tukisimamishwa kumpisha apite alichaguliwa na nani huku Tanzania Bara? Ni aibu kiongozi na mzee kama Maalim Seif Sharif Hamad kuita press conference kuongelea msafara wa katibu mkuu wa chama cha Mapinduzi chama kinachoongoza Dola mbili ya Muungano na Zanzibar.

Hoja ya pili ya mzee Maalim Seif Sharif Hamad anadai kuwa Vyombo vya Dola vimefanya utafiti na kugundua kuwa Chama Cha Mapinduzi kinakubalika kwa 36% na Act Wazalendo inakubalika kwa 64%.

Hoja hii nayo ni kituko Kabisa tena sijui huu ni utafiti wa aina gani?

Kwa mujibu wa utafiti wa Maalim Seif Sharif Hamad inamaanisha Zanzibar kuna vyama viwili tu Act Wazalendo na chama cha Mapinduzi? Hakuna Chadema hakuna CUF hakuna ADC wala Chama kingine chochote.

Kwanza hii ni dharau kubwa kwa vyama vingine vya Upinzani hapa nchini kuwaambia kuwa hawana wapiga kura hata Moja Zanzibar na sijui utafiti kama huu uliwahi kutokea mahala popote Duniani.

Ina maana Zanzibar hakuna watu ambao hawajihusishi na Siasa, kwahiyo 100% ya Wazanzibar ni ccm na Act Wazalendo tu?

Hoja ya tatu anasema kuwa kuna watu walitolewa Tanzania bara kwenda kuwarubuni wapemba kuhama act Wazalendo.
Katika hoja hii Maalim Seif Sharif Hamad anasema kuwa hao watu ni wa CUF wanaotumiwa na Ccm Mara watu hao wametumwa na ccm.

Kwanza Maalim Seif Sharif Hamad ajue kuwa katibu mkuu wa CCM ni kiongozi wa Kitaifa ambaye hadhi yake akiwa madarakani ni sawa na Makamu wa pili wa Rais wa SMZ au Waziri Mkuu wa JMT.

Kwahiyo anapofanya ziara mahala popote hapa nchini kamati ya Ulinzi na usalama katika mkoa husika lazima wampe Ulinzi na hata kukagua maeneo atakayotembelea kabla ya kufika eneo la tukio.

Kwahiyo kuona magari yakipita kukagua maeneo atakayopita ni wajibu wa kamati ya Ulinzi na usalama katika mkoa husika.

Kwanini Mzee wetu Maalim Seif Sharif Hamad anakuwa na hofu na ziara ya katibu mkuu wa CCM mpka kufuatilia Vyombo vya Dola wanaosimamia ziara yake?

Maalim Seif Sharif Hamad alipanga nini katika ziara ya Katiba Mkuu wa CCM? Inavyoonekana kuna kitu ambacho Maalim Seif Sharif Hamad alipanga kufanya kwenye ziara ya katibu mkuu sasa uwenda wameshindwa kutekeleza sasa anawahi kutoa Taarifa ili Vyombo vya Dola visimshtukie.

Mwisho Maalim Seif Sharif Hamad anatoa Onyo kuwa wamefika ukomo wa Uvumilivu watatuma vijana wao.

Onyo ilo ni la kijinai kabisa unapotoa onyo kuvuruga Amani sijui unataka ufanyweje?

Ili la onyo ngoja tuachie Vyombo vinavyohusika watajua cha kufanya.

Maalim Seif Sharif Hamad ameanza kusaka Urais wa Zanzibar toka mwaka 1983 hadi Leo kila Uchaguzi ikifika anakuja na porojo mpya safari hii ameanza porojo zake na vitisho juu.

Huko nyuma aliwadanganya Wazanzibar kuwa chama cha CUF ni agizo la Mtume Mohamed SW.

Sijui safari hii atawaambia nini Wazanzibar?

Kwasababu amezoea kuwarubuni Wazanzibar labda atawaambia Act Wazalendo ni chama Nabii Issa.

Uongo una mwisho na njia ya Muongo ni fupi.
 
Yaani kila bando ninaloangalia sasa halifai, na hata ukinunua ni masaa tu unaambiwa bando limeisha, yaani smartphone imekuwa shughuli kweli.
 
Chama Cha ACT Wazalendo kimetoa maelekezo ambayo yataendelea kutumika, wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwakani 2020 nchini Tanzania.

Akitoa maelekezo hayo mbele ya waandishi wa habari ofisini kwake Vuga Mjini Unguja, Mshauri Mkuu wa chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad alisema wamelazimika kutoa muongozo huo, kutokana na vitendo vinavyofanywa na watu wanaokusudia kuharibu majengo na kushusha bendera za chama hicho katika matawi ya Unguja na Pemba.

Katika hatua nyengine Maalim Seif ameliomba jeshi la polisi kutenda haki katika utendaji wa kazi zake bila ya upendeleo, kwa kuwa linapaswa kuwahudumia wananchi wote bila ya kujali itikadi za kisiasa.

Akionesha utulivu wa kuongea, Maalim aligusia miaka mitano ya utulivu na amani uliokuwepo chini ya Mfumo wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa, ulioasisiwa na yeye mwenyewe pamoja na aliyekuwa Rais wa Zanzibar Amani Karume ambapo alisema waliingia kwenye maridhiano kwa kujali zaidi maslahi ya Zanzibar na wazanzibari kwa ujumla.


1575347217814.png
 
Else UNAHITAJI mafuta ya mwamposaaaa

Jpili IBADA INANZA SAA MOJA ASBH MPAKA SAA SITA
YAPILI SAA SABA MPKA JIONI NJOO UKANYAGE MAFTA UVUNJE NIRA ZA SHETANI ZINAZOONDOA UFAHAMU WA KUELEWA

USIKOSE MKUU N JPILI HII TU..MPAKA MWEZI UJAO TENA KAMA SIO MWAKANI

LEO KUNA IBADA YA KULA KEKIII MVHANA NA USIKUU

I need what you smoked this morning
 
kumbe na wewe ni fursa
Else UNAHITAJI mafuta ya mwamposaaaa

Jpili IBADA INANZA SAA MOJA ASBH MPAKA SAA SITA
YAPILI SAA SABA MPKA JIONI NJOO UKANYAGE MAFTA UVUNJE NIRA ZA SHETANI ZINAZOONDOA UFAHAMU WA KUELEWA

USIKOSE MKUU N JPILI HII TU..MPAKA MWEZI UJAO TENA KAMA SIO MWAKANI

LEO KUNA IBADA YA KULA KEKIII MVHANA NA USIKUU
 
Else UNAHITAJI mafuta ya mwamposaaaa

Jpili IBADA INANZA SAA MOJA ASBH MPAKA SAA SITA
YAPILI SAA SABA MPKA JIONI NJOO UKANYAGE MAFTA UVUNJE NIRA ZA SHETANI ZINAZOONDOA UFAHAMU WA KUELEWA

USIKOSE MKUU N JPILI HII TU..MPAKA MWEZI UJAO TENA KAMA SIO MWAKANI

LEO KUNA IBADA YA KULA KEKIII MVHANA NA USIKUU

 
AWA JAMAAA NILIANZA KUWAOGOPA NAONA SASA MASHALLAH

KULIKO KUNUNUA BUNDLE LA WIKI 2000 UNAPEWA 512
MBS View attachment 1280038 MNADANGANYWA GB1..SIKUTATU LIMEISHA NJOON HUKU TIGO SIKUTATU GB 2

NIMEDOWNLOAD MPAKA NKAOGOPA NKAHISI NAWAIBIA MBS

AMKENI ACHANENI KUKAA NA.MAWAZO MGANDO YA KAMPUNI MOJA INAYOWATESA
Bado ghari, kwa week itakuwa karibu Tzs 5000. Kwa mwezi 20,000-25,000
 
AWA JAMAAA NILIANZA KUWAOGOPA NAONA SASA MASHALLAH

KULIKO KUNUNUA BUNDLE LA WIKI 2000 UNAPEWA 512
MBS MNADANGANYWA GB1..SIKUTATU LIMEISHA NJOON HUKU TIGO SIKUTATU GB 2

NIMEDOWNLOAD MPAKA NKAOGOPA NKAHISI NAWAIBIA MBS

AMKENI ACHANENI KUKAA NA.MAWAZO MGANDO YA KAMPUNI MOJA INAYOWATESA
TIGO! husibabaike na Hizo GB wakati speed ya tigo ni ndogo sana huwezi linganisha 4G ya Tigo na ya Voda au Airtel
 
Back
Top Bottom