Recent content by frenki katto

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kama kweli wabunge wa CCM ni wazelendo kwa hili muungeni mkono Zitto

    Ikinikipimo tosha kwa wananchi kuwatambua kama kweli wa bunge wa ccm wanapiga kelele bungeni kwania ya dhati kuwa tetea wananchi au wanatuzuga make tumewasikia na sasa tunataka vitendo wavionyeshe kwa kupiga kula ya kutokuwa na imani na waziri mkuu.kama watashindwa hili basi wakae kinya...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Taifa la washabikia uzinzi - Tanzania

    Mkuu umeaema ukweli wengi wanaishia kushabikia wana kwepa kusema ukweli hiv kitendo ikinichakushabikia kweli/huu ni kuweka pembeni maadiri ya dini zetu naamini hakuna kiongozi yeyote wa dini anaweza kushabikia ili bari atakemea watanzania tubadilike
  3. F

    JamiiForums Tanzania NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Mmmmmmmh mi sisemi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi ujao vyama vingine vya siasa viunge mkono CDM

    Wana JF napendekeza kama utatokea uchaguzi ndogo ktk nchi yetu ingekuwa vizuri vyama vingine kama kweri vina nia ya dhati ya kuwakomboa watanzania viunganishe nguvu kwa cdm kwani kwa matokeo ya Arumeru kuliko kungangania kuweka mgombea mwisho wa siku chama kinapata kura 18
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Aibu yao aibu yetu Aibu yao wenyewe!
Back
Top Bottom