Recent content by frenderPH

  1. frenderPH

    Msaada mtoto wangu mbegu moja imepotea

    Kaka usikate tamaa mpeleke kwenye hospitali kubwa na ya kisasa wataitafuta itapatikana uwaga zinakimbilia kwenye utumbo n.k lakini pia ukichelewa kuipata angali mapema baadae itakua tatzo kubwa kaka
  2. frenderPH

    Tatizo la kuwahi kumwaga dawa yake ni nini?

    Ukiisha mwaga haisimami tena
  3. frenderPH

    Tatizo la kuwahi kumwaga dawa yake ni nini?

    Wadau wa JF habari za J2, Naandika post hii kwa masikitiko makali sana ambayo yameshanipatia mawazo mpaka nahisi kuchanganyikiwa. Sasa ni wiki ya pili nimekumbwa na tatizo la kuwahi kumwaga pale nitakapokuwa kwenye tendo la ndoa, yaani haichukui hata dakika moja wazungu wanatoka. Hii hali...
  4. frenderPH

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Yeah kaa kimya, pengine hata hio ni plan pia ya maisha yenu kusonga. Istoshe idea ya mwanaume kuwa na mwanamke ni kupata usaidizi. Hio inamaanisha usaidizi wako utahusika pale akihitaji na kama asipohitaji we chill kula ulale.
  5. frenderPH

    Unaishi vipi na mwanaume asiyepokea ushauri wa mwenza/ watu wengine?

    Usifosi ushauri wako utumike kwenye pesa ya mtu mwingine, we kama umeolewa base kwenye duties zako zinazokuhusu kama kufua, kupika na usafi hayo mengine ni juu ya mme wako akiamua akushirikishe ni sawa asipo amua kukushirikisha ni sawa pia kwasababu Yeye ndio Bosi kwenye familia yenu anajua nini...
  6. frenderPH

    Lotion gani nzuri kwa mwanaume?

    Wadau habari za Jioni. Nisiwe na maelezo mengi sana Ningelipenda kufahamu ni Lotion gani nzuri kwa mwanaume ambayo itasaidia afya ya ngozi kuwa imara na kupunguza mabaka vipele na madoa madoa kwenye ngozi?! PS. Kwa anayejua comment yako itakua msaada mkubwa sana.[emoji1752]
  7. frenderPH

    Tujifunze kuheshimu kukataliwa (rejection)

    Ukweli ni kwamba hakuna urafiki katinya mwanamke na mwanaume. Dem ukimtongoza akikukataa basi endelea na business zako habari za yeye kutaka urafiki mara salamu ni juu yake sisi wanaume tusiendekeze ujinga. Mwanaume anaebaki kuwa rafiki wa mwanamke pale anapokataliwa ni dhaifu iwa sababu...
  8. frenderPH

    Natafuta mwanaume wa kunioa

    Ok. Ukiachana na SEX unakitu gani kingine cha kuoffer kwake?!
  9. frenderPH

    Maana ya Mwanamke Bikra, Kuwa na Mahusiano/Kuoa Mwanamke Bikra

    Kaka mkubwa hii umeongea ni Point kabisa, na kuna vitu vingine pia nimejifunza kupitia hii Comment. Kwa upande wangu nilikua naamini kitu hiki hiki na hapa umeniongezea CONFIDENCE ×100. Katika principle za ndoa mwanaume anatakiwa apate mwanamke ambaye ni Bikra hii ikimaanisha kwamba yani kama...
  10. frenderPH

    Wanawake, muda gani huwa unachukua kufika kileleni?

    Piga burpees na kata tumbo za kutosha.
  11. frenderPH

    Faini kubwa ni kiasi gani kwa maroli?

    Wadau kwema, poleni na kazi. Nahitaji kujua faini kubwa ambayo inachajiwa na watu wa tanroads hasa kwenye mizani pale watu wa maroli wanapozidisha tani za upakiaji, inaweza ikafikia Dola Elfu ishirini ($20,000)? Yaani hio ni kosa la papo hapo sio limbikizo la deni. Samahanini kupost jukwaa...
  12. frenderPH

    Siku niliyotongozwa na huyu Msichana wa Instagram (Shabiki wa Harmonize)

    Hii stori haukuisha vizuri ndo maana hajamalizia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  13. frenderPH

    Tumeachana lakini bado tunaishi pamoja, yeye hana pa kwenda

    Mimi 32 na Gf wangu mwenye miaka 34 tuliachana lakini bado tunaishi pamoja kwa sababu ana binti wa miaka 14 na hana pa kwenda. Ninapambana na nini cha kufanya. Tumekuwa pamoja kwa zaidi ya miaka sita tangu tulipoanza mahusiano. Ninampenda binti yake kama wangu na ninahisi kama yeye ndiye...
  14. frenderPH

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Yo guys. Your boi is on firee [emoji95][emoji95]
Back
Top Bottom