Tujifunze kuheshimu kukataliwa (rejection)

Kukaziwa na demu wa kawaida & kukaziwa na demu ambae kila mtu anaipiga ila kwako kachomoa betri hivi vitu skiageni tu
Acha tuu yaani huwezi elewa mpaka yakukute. Mie malaya kabisaaa akaniambia mzabzab huna mvuto wa kutomberner😭😭😭😭😭
Sasa angeona kibamia changu sii ndio angecheka mapaka ajikojoleee
 
Labda Wasio Na Ukomavu Wa Akili Ndio Wanaweza Kuwa Watu Wa Namna Hiyo.

Vile Vile Hata Mkiachana Huwa Sioni Sababu Ya Kuweka Uadui/Kisasi Kwa Mwanamke.

Maisha Rahisi Sana Haya Kama Utaweza Kuishi Hivyo
Bwana wee sasa mwanamke ulishamkula eti mmeacha hapokei simu zako wa kujibu sms zako nashindwa kuelewa huo ujinga wao. Kama kuliwa ulishaliwa tuu. mawardat pokea simu zangu
 
Ukweli ni kwamba hakuna urafiki katinya mwanamke na mwanaume. Dem ukimtongoza akikukataa basi endelea na business zako habari za yeye kutaka urafiki mara salamu ni juu yake sisi wanaume tusiendekeze ujinga. Mwanaume anaebaki kuwa rafiki wa mwanamke pale anapokataliwa ni dhaifu iwa sababu anategemea abaki kama rafiki ili ikipatikana nafasi aishi lakin uhalisia sio hivyo. Fanyeni mfikilie tu wewe ukiwa na urafiki na mwanamke, yeye mwanamke anategemea umtreat kama boyfriend wake yan care zote ummpe lakini wewe hupati kitu zaidi ya urafiki. So hayo yote ya nn bora kama hataki apite hivi na mimi napita kule Bwai bwai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaharibu sasa...mbona unakua kama hujui kula na kipofu? Hao watu hawataki kuishi kibepari hvo
 
Yaani unakuta mtu kukataliwa kunamtia wazimu.

Akishusha sound za kutosha halafu dada amkatae unakuta jamaa achukulii kawaida hiyo rejection.

Anajiona kama mtupu na kudharauliwa kinachofata anaanza kumchukia dada wa watu halafu vijiwekeni anaanza kumsema vibaya ili amshushie dada wa watu hadhi yake.

Muda mwingine unakuta hata dada ingawa hata ulimtongoza anaendelea kukusalimia halafu jamaa anakausha. Hapo jamaa anaona kama amemkomoa manzi kumbe wewe ndio unaonekana boya na manzi anakudharau kwamba you are weak hata ile second thought kuhusu wewe hawezi tena kukupa.

Tusipoteze hadhi zetu za wanaume wa shoka, mwanamke akikutaa endelea kupiaga sound ukiona amzingua kabisa achana naye ila sio kumtengenezea vita na yeye huku ukigeuka kuimba taarabu kuhusu yeye vijiweni.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
kuliwahi kua na uzi humu Jukwaani wenye kichwa UKIKATALIWA AU UKINYIMWA USIJISKIE VIBAYA.

ni vizuri kuwa wastaarabu. Zaidi sana yafaa uwe mzoefu wa kukataliwa na hivyo basi usikubali likupite hivihivi. kukataliwa mara nyingi zaidi ndipo unapata ujasiri zaidi wa kuomba na kukataliwa zaid tena na tena...
 
Ukiwa hauna mkono wa birika kukataliwa ni ngumu sana ,unaweza maliza ata miaka kumi haujawai kataliwa.
 
Ukweli ni kwamba hakuna urafiki katinya mwanamke na mwanaume. Dem ukimtongoza akikukataa basi endelea na business zako habari za yeye kutaka urafiki mara salamu ni juu yake sisi wanaume tusiendekeze ujinga. Mwanaume anaebaki kuwa rafiki wa mwanamke pale anapokataliwa ni dhaifu iwa sababu anategemea abaki kama rafiki ili ikipatikana nafasi aishi lakin uhalisia sio hivyo. Fanyeni mfikilie tu wewe ukiwa na urafiki na mwanamke, yeye mwanamke anategemea umtreat kama boyfriend wake yan care zote ummpe lakini wewe hupati kitu zaidi ya urafiki. So hayo yote ya nn bora kama hataki apite hivi na mimi napita kule Bwai bwai [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu agiza soda, nashangaa sana humu watu wanaoshabikia kuwa na urafiki na demu aliyekukataa.
 
Back
Top Bottom