Recent content by FRELIMO

  1. F

    Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto Kabwe kuvuliwa uanachama wa CHADEMA

    Naamin lazima tutamuona tu mzalendo ZZK bunge lijalo kwani walio timamu kichwani hawaangalii chama bali mpigania haki kwa nchi yake. Tengeneza utatu kama messi,neimer & suarez kupitia NCCR,(mbatia,kafulila & ZZK.
  2. F

    Bidhaa zilizokwisha muda wake wa matumizi

    Habari zenu wadau,leo naomba tujadili suala la (expery date) kwa bidhaa tuzitumiazo kila siku. 1. Je, wewe huwa na utamaduni wa kukagua expery date kabla ya kutumia bidhaa? 2. Je, kuna muda wa nyongeza baada ya ule ulioainishwa katika bidhaa husika kwa ajili ya matumizi? 3. Je, unajua madhara...
  3. F

    Proccesing fee & Insuarance fee - NMB

    Habari zenu wandugu. Naomba kwa mwenye uelewa juu ya mikopo,maana kunasiku nimeenda NMB-Nbarali nikataka kujua utaratibu mzima wa mikopo na urejeshwaji wake kiukweli nilishangaa sana. Pale nilipopigiwa hesabu na kuambia katika mkopo wa 10m kuna proccesing fee-kama laki mbili.Insurance fee...
  4. F

    Ushauri wangu ili Kunusuru vijana wa JKT

    Kiukweli huwa inauma sana kukosa ajira baada ya mafunzo yote ya miezi 24 na wengine kama mimi wa JLC miezi 27 pamoja na maneno matamu ya matumaini ya viongozi wetu ingawa FORM YA KUJITOLEA tulijaza wenyewe. Naomba yafuatayo yaweze kufanyika kunusuru hasira ya vijana wanaokosa ajira maana hata...
  5. F

    Msaada Kusoma open university online

    Asanten wandugu,naona nimefatilia website yao ukweli naona hawatoi certificate.duh naona ishakuwa ngumu mwaka jana nilireseat nikabahatisha credit ya tatu ila mazingira ya utafutaji pesa yamenibana kiasi cha kua pori kwa pori mjini mara chache na azma ilikuwa kusoma advance as private cndt(1yr)...
  6. F

    Msaada Kusoma open university online

    Jaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV- D,BIO -F,MATH- F. Msaada na ushauri unapokelewa kwa heshima zote.
  7. F

    Kusoma online open university of tanzania- law certificate

    Heshima ziwekwenu wanajamvi naomba kujua namna ya kujiunga na kusoma online katika chuo kikuu huria kozi ya sheria-results ni Geo-C,ENG-C,KISW-D,CIVICS-D,HIST-D,BIO-F,MATH-F dev 4-28.msaada kwa anaejua hata ushauri unatakiwa kama upo asanten.
  8. F

    Mashine ya tofali

    Nashukuru kwa wote walionisaidia michango ya maelezo ila jibu nimelipata kwa mashine hiyo ni tsh 500000 SIDO,Kwa kupata contcts za mikoani google www.sido.go.tz.Aksanten
  9. F

    Mashine ya tofali

    ndugu siwezi fafanua coz hata hiyo interlocking bricks siijui na pia sijui tofauti yake na zile za kawaida naami unaweza nisaidia ufahamu wa hiyo kitu,but its better to know the price of both
  10. F

    Mashine ya tofali

    aksante sana kaka so if pocble naomba contacts za hao jamaa maana kwa sasa niko mkoani
  11. F

    Mashine ya tofali

    Nafikiri kama hukunielewa hv maana jibu bado halijajitosheleza AINA GANI? BEI GANI? MAENEO ZINAPOPATIKANA
  12. F

    Mashine ya tofali

    Wanajamvi habari zenu polen na majukumu,naomba msaada kwa anaejua bei ya mashine ya kufyatulia tofali za aina zote zile za manual,diesel au umeme anisaidie na zinapopatikana tafadhari.
  13. F

    Mtaalamu wa kudesign LOGO

    Kitu kama unautaalam nacho mi nadhani inabidi utuoneshe samples ili tuamin unenacho na kama itaridhisha biashara inafanyika kuliko kuweka siasa mara nipe siku mbili ohoo nitumie email vyote vimekamilika bado hakunakilichofanyika.jaman alie serious na biashara atume samples na price ya hiyo kitu OVER
  14. F

    Mtaalamu wa kudesign LOGO

    DUH WATZ NAONA MAMBO YA SIKU 2 HAYO,biashara ngumu bwana mhuuu
  15. F

    Mtaalamu wa kudesign LOGO

    albinuskafyome@gmail.com pia cc csamawati@gmail.com tuma zikiniridhisha tutafanya biashara
Back
Top Bottom