Recent content by Freeman Patrick

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ankara ya maji jijini Dar thnalipia DAWASA au DAWASCO?

    Wadau nnaomba kuuliza, bill ya maji hapa Dar tunawalipa DAWASA au DAWASCO?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Sabodo: Sitawapa tena CHADEMA pesa yangu, nitampa Rais Magufuli

    Sio billioni 5, USD billioni 5 hata mimi nimeshangaa dollar bil 5 atoe wapi?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Watu 9 wa familia moja wamefariki Buguruni Malapa kwa ajali ya moto

    Daah... it's so sad... may the Lord God strengthen huyo baba na ndugu wengine...
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hotspot ya iPhone 4s

    Anhaa... I was afraid, for instance network ikazingua during updating, af ikaishia njiani, kunatatizo lolote linaloweza nitokea? Sent from my iPhone using JamiiForums app
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada kwenye hotspot ya iPhone 4s

    Ivi inachukua mda gani ku update OS nzima?? Sent from my iPhone using JamiiForums app
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka tafadhali!!!!!!!

    Laptop yangu imegoma ghafla... Inasema, "your PC has run into a problem... nimejaribu baadhi ya commands km Sfc scannow.. bado imegoma. Naombeni ushauti wenu wakuu
  7. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaaada tafadhali!!!!!

    Jinsi ya kutuma files kutoka kwenye PC kwenda kwenye iPhone, files kama vitabu, slides nk.... Kila nikijaribu kutuma kawaida km kwenye simu nyingine inakataa!! Je, na kufanya hivi pia kunahitaji itune??
  8. F

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    This is getting serious... Get well soon though i dnt like what you have been spreading....
  9. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone 4S

    We km hujaelewa huna haja ya kujibu, "hata mjinga akikaakimnya anaonekana anabusara" bora ukae kimnya.....
  10. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone 4S

    Mkuu nauliza bei ya dukani ikiwa brand new....
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania iPhone 4S

    Naomba kufahamu bei halisi ya iPhone 4s 16GB ..... Msaada tafadahili...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kupata mimba kwa style hii Inawezekana?

    Ha ha ha... Paradiso, ni swali tu nimeuliza kutokana na mabishano yaliyokuwa yanaendelea huku, it has nothing to do with my personal life.
  13. F

    JamiiForums Tanzania Kupata mimba kwa style hii Inawezekana?

    Tnx kawakama, u ar welcum..
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kupata mimba kwa style hii Inawezekana?

    Ahsante mkuu, nazidi kupanua mawazo yangu.
Back
Top Bottom