Freeman Patrick
Senior Member
- Jul 10, 2012
- 132
- 13
Je, msichana anaweza pata mimba akifanya mapenzi siku 1 kabla ya bleeding au wakati wa bleeding? Mchango wenu tafadhali..
Tafauti na kupanua mawazo yako unapaswa kukubali kuwa uyo binti uliyetembea naye siku moja kabla ya hedhi ni sahihi ana mimba yako.Ahsante mkuu, nazidi kupanua mawazo yangu.