Recent content by fredysumuni

  1. F

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Mwenyewe nimeshangaa mimi nna mshahara kama huo mwaka w tatu huu sina kitega uchumi chochote
  2. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume kabla ya kumhonga mdada pesa/kumhudumia, tujiulize hili swali moja tu

    Never date a broke girl bro hasa kama na wewe unatoka choka mbaya
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kushirikiana naye gharama za chumba Dar es Salaam

    Nakumbuka nikiwa chuo nilishawahi kupigika kimaisha wakati huo naishi geto, nikatangaza kuhitaji msaada wa kutafuta mwenzangu wakuishi nae tushee cost nikampata mwamba mbishi kichizi haziivi yani mixer nikatamani nimrudishie chake but sikuwa na maisha wakati ule ikanibidi tu niwe mvumilivu wa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Wazee wa mikeka group letu la whatsap hili ala

    0674667123 ni add plz
  5. F

    JamiiForums Tanzania Maswali 10 muhimu kwenye usaili wa JKT

    Sio balikiwa ni barikiwa mkuu utafeli
  6. F

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mwl. Mussa Iddy kulalamika, HESLB yatoa ufafanuzi kuhusu utaratibu wa urejeshaji mikopo

    Ruksa mzazi kumchapa mtoto, mtoto ukimchapa mzazi ni laana
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa nikikosa matumaini muda mwingi. Naombeni ushauri

    Kaa mbali na kamba mkuu ndo tunaishi hivyo bongo
  8. F

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa 'vitu used'

    Desk top umeshapata mkuu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Pesa inaongea na wewe jitahidi uongee nayo
  10. F

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nina samsung j4 plus wakuu naiuza 230k Nicheki 0836667123 Sent using Jamii Forums mobile app
  11. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa haraka kabla stress haijapanga chumba moyoni mwangu

    Sio kila mtu wakumsamehe wengine wapunguze Sent using Jamii Forums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Kuna tangazo la wiki mbili na la mwezi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. F

    JamiiForums Tanzania Jipatie Gari La Bajeti Ya Milion 4 Hadi 6

    Kwanini usingeunda group la wasap tupige kazi kiuwepesi mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. F

    JamiiForums Tanzania Biashara ni matangazo

    Usikate tamaa mkuu inategemea ni aina gani ya biashara uliipost si unajua kuna aina ya biashara demand yake ni ndogo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom