Recent content by FREDY MASABA

  1. FREDY MASABA

    Nimechuma mali na mme wangu, lakini sasa anachepuka hakumbuki hata familia yake

    Pole xana. Huo ni mtihani umejaaliwa kuupata. Na maisha ya ndoa huwa yanachangamoto za namna nyingi. Kikubwa ni kufunga na kumwombea kwa mungu ili mungu aweze kumbadilisha tabia. Kupenda si kazi. Ila kazi ni kumpata anaekupenda na kukuthamini.
  2. FREDY MASABA

    Kilimanjaro yavunja rekodi ya udhamini kwa mh. Lowassa, wanaccm 33,780 wamdhamini

    Ikitokea jina la lowasa lisipitishe NECK itakuwaje? Huo ni wangu mtazamo.
  3. FREDY MASABA

    Pigo kubwa CHADEMA; Makubaliano na TCD yamewaponza!

    Dah! Hiyo itakula kwao part 2.
  4. FREDY MASABA

    Taifa Stars vs Benin, 12 Oktoba 2014

    Challange cup cjui itakuwaje?
  5. FREDY MASABA

    Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Mi naona ni KHERI kuwa MLINZI PEPONI kuliko kuwa BOSS MOTONI.
  6. FREDY MASABA

    Miss Tanzania 2014 live Star TV

    Hii ndio bongo
Back
Top Bottom