Recent content by Fredwa4real

  1. Fredwa4real

    Kero hujuma ya maji kijiji cha Maganzo Kishapu Shinyanga

    Kwako waziri wa maji ndugu mweshimiwa makame mbalawa tunaandika kwa machungu katika umoja wetu wananchi wa maganzo thidi ya hujuma zinazofanywa na viongozi wako uliwapa dhamana ya kusimamia sekta hii kijijini hapa kupitia wizara yako nyeti katika shuhuli za ujenzi wa taifa. Hivi karibuni...
  2. Fredwa4real

    Barua ya wazi kwa Waziri wa maji kuhusu wahujumi uchumi wa mradi wa maji kijiji cha Maganzo wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga

    Kwako waziri wa maji ndugu mweshimiwa makame mbalawa tunaandika kwa machungu katika umoja wetu wananchi wa maganzo thidi ya hujuma zinazofanywa na viongozi wako uliwapa dhamana ya kusimamia sekta hii kijijini hapa kupitia wizara yako nyeti katika shuhuli za ujenzi wa taifa. Hivi karibuni...
  3. Fredwa4real

    Tuifikirie kwa umakini taarifa ya Polisi kuhusu Abdul Nondo

    POLISI NA DOLA WANATETEMEKA, KUNA JAMBO WANALIFICHA JUU YA ABDUL NONDO.. HAYA NDIO NILIYOYAGUNDUA JUU YAO. Na Josephat K. Nyambeya nyambeya@yahoo.com Kuna msemo wa lugha ya majahazi unasema "A sunk vessel (damaged) has no rudder. What is predestined is inevitable." Kwa maana ya kwamba chombo...
  4. Fredwa4real

    How your home screen looklike

    Yakwangu
  5. Fredwa4real

    KILI-MARATHON

    4 march nyumba za kulala wageni, wenyeji na mahoteli moshi na viunga vyake vimejaa.
  6. Fredwa4real

    Kilimarathon moshi hakuna pa kulala hotel zimeja

    Msaada wa booking tarehe 4 hadi 5 march moshi mjini
  7. Fredwa4real

    Kupishana meneja wa Wasafi-WCB na bwana ruge CLOUDS

    Mdau ipo nyima wasafi wapo tayari kufungua redio na Tv yao hivi KARIBUNI ndio maana wamekua jeuri
  8. Fredwa4real

    Kupishana meneja wa Wasafi-WCB na bwana ruge CLOUDS

    Je kisa ni WASAFI kufungua Redio na TV Yao? Au kuna la zaidi
  9. Fredwa4real

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    sikatai mkuu lakini kwenye izo sekta ulizozitaja hapo juuu si yumeshuhudia ndio wapiga deal wakuu walikuepo huko kesi ya panya unampelekea paka unategemea nn nadani the whole issue hukuelewa namnuku bwana paskali "mkuu wa kaya anadeal amekataa kwa taasisi za umma kutunza fedha BOT. Hizi fedha...
  10. Fredwa4real

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    hebu msome bwana paskali hapo chini utaelewa kwa kweli huyo bwana mchomv sio wa mchezo mchezooo alikua anachukua chake mapema
  11. Fredwa4real

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    mkuu umesema vizuri sana lakini wewe mwenyewe unaishia kusema AGELIJENGA MFUMO wakati wewe mwenyewe unasahau upo ndaani ya huu mfumu nikimanisha hivii mfumo ni nn? na mfumo huo unaelewekaje na kuchukuliwaje na hao wanaoudefine? theni ukishajua mfumo ni watu na hao watu ndio mfumo basi hata yeye...
  12. Fredwa4real

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    Wadau me nashauri tuangalie hili suala la fixed deposit v fedha za umma kwa jicho la tatu. Sisi vijana tunatumia muda mwingi sana kuumiza kichwa juu ya mmamuzi ya serikali. Ni kwanini kuweka pesa za umma kwenye fixed account? Utaratibu wa serikali unazungumza nini kuhusu fedha za umma?. Binafsi...
  13. Fredwa4real

    Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT

    kwakweli hata mie naona bot imemshinda gavana na mtu huwezi kushika mawili wewe gavana alafu huku ni member wa bodi tRa...utapiga dili tuuu
Back
Top Bottom