Recent content by fredrick nyondo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ulinzi wa Kim Jong "Kiduku"

    Goooood
  2. F

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

    Mbona chanjo nyingine Kama surua, pepopunda, polio, zimetoka kwa mabeberu na hatujafa na hata dawa nyingine, mabeberu wakiamua kutuua ni sekunde hawashindwi tuache kupishana na ukweli
  3. F

    JamiiForums Tanzania Msaada : kujitoa chama cha walimu Tanzania

    Huwezi kujitoa kwa kuwa ulisaini na kukubali kwenye mkataba wakati unaanza kazi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuwafananisha Wachaga na Wakinga ni dalili ya kuchelewa kuijua Dunia

    Siyo kweli kwa sasa wakinga wapo juu kibiashara kuliko wachaga, nenda kariakoo kawafananishe wakinga na wachaga utaona mchaga kafeli, wakinga kwa sasa wapo vizuri kwa Elimu na biashara
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kuondoa uchawi na majini

    Pray to god
  6. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Burundi na Rwanda zilikuwa sehemu ya Tanzania?

    Ni kweli ilikuwa chini ya kampuni ya kijerumani ya GEACO
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kuamini katika dini ni kulemaza akili, kuukataa ukweli na kuamini uongo

    Kuna baadhi ya wachungaji wapo kifedha zaidi tofauti na maandiko ya biblia
  8. F

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Mungu ni kila kitu
  9. F

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Mungu ni kila kitu
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Dawa za Madagascar

    Kujifukiza sio ushirikina, kumbukeni dawa zote zatoka kwenye mimea, wadudu,wanyama, Sent using Jamii Forums mobile app
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Dawa za Madagascar

    Kujifukiza sio ushirikina, kumbukeni hata dawa za viwandani zatoka kwenye mimea,wanyama,wadudu, lakini hata mababu zetu walizitumia, tuache kudharau jadi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji viazi mviringo

    Viazi miringo vinauzwa vipo mufindi karibu na mafinga,vitaanza kuchimbwa baada ya wiki mbili au tatu kutoka sasa mwezi huu februali, kwa mawasiliano piga simu 0755049741, bei ni maelewano, karibu sana Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom