Recent content by Fredrick Mmari

  1. Fredrick Mmari

    USIOGOPE

    Somo hilo
  2. Fredrick Mmari

    USIOGOPE

    FUNGUA HAPO KUPATA SOMO HILO
  3. Fredrick Mmari

    Mwenye joining instruction ya MATI ILONGA

    Habari wana jamii Mwenye joining instruction ya chuo tajwa,2017/2018 kwa watu wenye ufadhili wa serikali cerificate ya General Agriculture, naiomba
  4. Fredrick Mmari

    Wale wote waliochaguliwa Chuo Cha Kilimo (MATI) Mtwara Certificate na Diploma, tukutane hapa

    Ukisikiliza tangazo la NACTE enzi zile wana apply linasema, masomo yataanza tar 25/9 Means huwezi anza masomo kabla hujawa registered na chuo na ili usajiliwe ni lazima ukamilishe mahitaji yao kama fees Huenda kuripot ikawa wk hii ili masomo muanze wiki ijayo tar 25 Muulize vyema ukipata time...
  5. Fredrick Mmari

    Wale wote waliochaguliwa Chuo Cha Kilimo (MATI) Mtwara Certificate na Diploma, tukutane hapa

    Hongera sana kiongozi Means kuripot alikwambia lini kama masomo yataanza tar 25?? Nadhan wanafunzi watatakiwa wafanye registration (wawe admitted) kabla ya kuanza classes hiyo tar 25
  6. Fredrick Mmari

    Wale wote waliochaguliwa Chuo Cha Kilimo (MATI) Mtwara Certificate na Diploma, tukutane hapa

    Umepata kupitia link gani matokeo ya certificate sekta ya kilimo? Kijana wangu aliomba MATI Ilonga
  7. Fredrick Mmari

    Kwa walioomba Medical Attendants na Assistant Nurse mwaka 2017

    Waliopo kwenye professional hiyo naamini watatupa ufafanuzi zaidi
  8. Fredrick Mmari

    Matokeo ya NACTE yametoka?

    Nadhani by tomorrow watakua wameshatoa. Nitakujuza
  9. Fredrick Mmari

    Uzi maalumu wa pongezi kwa wale wote waliochaguliwa vyuo na ambao wameshindwa kuchaguliwa nini cha kufanya..

    Ingia kwenye profile (account) yako uliyotumia ku appy, utaona kama umechaguliwa au la
  10. Fredrick Mmari

    Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    Kama uliomba afya au ualimu, ingia kwenye profile yako uliyotumia ku apply, utajua tu Kwa kozi za kilimo naona bado
  11. Fredrick Mmari

    Matokeo ya NACTE yametoka?

    Yaa ila mimi nataka kujua upande wa kilimo ambao hadi sasa hawajaweka cuz wahusika waliombea direct vyuoni
  12. Fredrick Mmari

    Siku sita 6 zimebaki selection za NACTE kutoka

    THE NATIONAL COUNCIL FOR TECHNICAL EDUCATION STUDENT'S ADMISSION VERIFICATION SYSTEM Home Login Guidebooks FAQ Sat Sep 16 2017 21:01:42 GMT+0300 (EAT) System will open soon... STUDENT'S ADMISSION AND VERIFICATION SYSTEM The Student's Admission Verification for those who...
Back
Top Bottom