Recent content by fredkusi

  1. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Kuwasingizia watu matatizo yetu haijawahi kutusaidia na haitokaa itusaidie kutoka tulipokwama.
  2. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Sure
  3. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Let me get this straight about the COVID-19 vaccine

    Hapa ndo tatizo linanzia kila tatizo wazungu,haya dar hapa uchafu kila mahala pia tutasema ni wazungu kwa jinsi tulivyo wavivu wa kufikiri.
  4. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Majibu ya ACT-Wazalendo kwa hoja za Tundu Lissu

    aya ni maoni tu ya ndugu yangu Lissu. Sisi kama chama na viongozi tunampa Ndg. Hussein Ali Mwinyi kinachoitwa BENEFIT OF DOUBT. Kwa hatua ambazo Dkt. Hussein amezichukua mpaka sasa tangu awe Rais wa Zanzibar anastahili kupewa hiyo benefit of doubt,,HUKU NDO SURRENDER YENYEWE.
  5. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Hii NSK kwa nini inakimbilia winding up
  6. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Issue ni moja hatutabiriki inabidi lifanyiwe kazi sana hili na sidhani kama atafunga kiwanda kwa sababu hiyo
  7. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Katiba inatamka kuapa Bungeni. Haijasema wataapa mbele ya Wabunge au ukumbi wa Bunge

    Mambo hayapo hivo waendelee na ulaji kwa maana wanaweza kuwapa hata udc na uarc
  8. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Kundi la Wabunge 19 wa CHADEMA wana siri nzito mno. Wakizibwaga, CHADEMA inasambaratika

    Eti siri zipi hizo ?
  9. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna biashara zenye mfumo wa chain?

    Haaaaah watanzania ni matajiri san hiinchi ni dona kantri.
  10. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Basi waanzishe chama chao kisichofuata utaratibu maana hawawezi kujiamulia wao kwa mwamvuli wa chama cha siasa wakati wameanua wenyewe kwa sababu zao wenyewe.
  11. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Weka siasa pembeni, tafakari "credibility" ya Mamlaka za Serikali katika sakata la CHADEMA

    Acha kusa support ujinga kwa kigezo cha kupata maumivu,
  12. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Kufanya kosa si kosa, kosa kurudia kosa. CHADEMA inakaribia kufa, hii ndio njia yenu pekee ya kujinasua

    Kwako ni right thing kwa wengine ni wrong thing no need for your justification.
  13. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

    Kwa hiyo yeyote anaweza kupeleka majina ?
  14. fredkusi

    JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA ina mbunge halali aliyekwishaapa bungeni kwanini hawa wengine 18 inawazuia? Ushamba mzigo!

    Wee ueleweki mara bawacha mara mnyika which is which.
Back
Top Bottom