Mimi meno yangu yanakua na hali fulan kama ya ganzi na mate yanakua hayako hali iliyo sawa, ko inanibidi nibrush frequent, hata sasa yana hali ya ganzi, je ni moja ya dalili au ni tatizo jingne?
vilevile hiki ni kipindi Cha Corona wanafunzi wameongeza matumizizi mengine Kama vile barakoa na sanitizer, na usafiri umepanda Bei hasa kwa wanafunzi wanaosomea dar coz of level sit, na zaidi tulitarajia kuona hela ya kujikimu inaongezwa kusudi wanafunzi waweze kujikinga na Janga korona, kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.