Recent content by Fred Kingo

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

    asante mkuu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Msaada, nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

    Wanajamiii naomba msaada nimepoteza kadi ya bima ya afya ya taifa... Anayejua namna ya kupata nyingine na hata za kuifatilia kupata nyingine anisaidie.... Nawasilisha kwenu wadau..
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nimepoteza NHIF kadi ya bima ya taifa ya afya

    samani wana jamii...nimepitelewa na kadi ya bima ya taiga ya afya.. msaada kwa anayejua namba na hatua za kupata nyingine... Nwasilisha kwenu karibu ni kwa msaada
  4. F

    JamiiForums Tanzania Field kwa first year

    duh... bila mkuu field ni baaada ya kumaliza mwaka wa kwanza kwa hapa UDSM... pia BAEd ni degree program na sio faculty...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu BAED

    mdau chuo gani umechaguliwa ?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

    chuo hamnaga syllabus ispokua kuna courses outline
  7. F

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoijua DUCE, Tufahamisheni Vizuri

    asee DUCE ni kusoma tu... yaani misuli mirefu ka advance vile... tena wako ma lecturers kama mazigo, nzilano na mselemo... we wasikie tu ohooo
  8. F

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu UDSM maringo kibao ila hamna lolote

    wewe kama ulikosa kusoma UDSM basi kua mpole... UDSM home of intellectuals
  9. F

    JamiiForums Tanzania UDSM yaporomoka kwa Ubora Afrika yaangukia nafasi ya 37, Nairobi yapanda hadi 7

    UDSM HOME OF INTELLECTUALS WACHACHE TUMEFANIKIWA KUSOMA HAPA. naomba ieleweke kwamba udsm itabaki kua udsm tu... hakuna chuo chochote kinachoweza kujilinganisha na udsm . ndo chuo cha taifa tena home of intellectuals.... hapa wanasoma wenye ufaulu wa juu. na tena ni ma genius tu... udsm hakuna...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Arts in Kiswahili wanafanya kazi gani?

    Tafadhali wakuu wenye kufamu hill watujuze.. je watu vwanaosoma bed science ( bachelor of education in science) je wanaweza ajiriwa katika college au nao watakua waalimu wa sekondari ?.
  11. F

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu shule ya msingi, Niko nzega , nahitaji anayetaka kuja nzega tubadilishane, Mimi nataka kwenda moshi mjini au moshi vijijini arusha mjini, kwa anyehitaji ani PM.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu mwenge university

    mkuu mwenge university ipo moshi kilimanjaro na siyo dar
  13. F

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    msaada tafadhali mwenye majina ya duce na muse aniangalizie s3688/0099/2012 bachelor of science with & in education
  14. F

    JamiiForums Tanzania UDSM selection - Undergraduate 2015/2016 (Batch One)

    mkuu namba uniangalizie huyu aliomba duce na muce bachelor of education in na pia with science. namba yake ni S3688/0099/2012
Back
Top Bottom