Fred Kingo
Member
- Sep 7, 2015
- 33
- 1
Wanajamiii naomba msaada nimepoteza kadi ya bima ya afya ya taifa... Anayejua namna ya kupata nyingine na hata za kuifatilia kupata nyingine anisaidie....
Nawasilisha kwenu wadau..
Nawasilisha kwenu wadau..