Recent content by fred kid

  1. F

    Natamani kujua kinachosababisha umasikini kwa vijana wasomi

    Hivi Tanzania ina wasomi wangapi na wasiosoma wangapi? Je,kati ya makundi hayo ni kundi gani linaoongoza kwa umaskini? Viongozi wa serikali,watumishi wa umma na private sectors siyo wasomi? au kwenu wasomi ni graduates tu ambao hawajaajiriwa? Inamaana hakuna graduates wanaofanya Mishe zao kimya...
  2. F

    Kilimo cha Tangawizi - Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Shilingi mia sita kwa kilo huku Kigoma.
  3. F

    Wazo la biashara kwa 100m

    Njoo Kigoma nunua tangawizi mbichi kuanzia mwezi wa sita kwa Tshs 400 kwa kilo, kata kwa ajili ya kukausha mpaka mwezi wa Tisa then utaamua uuze kwa kati ya 1500/= mpaka2300/= kwa kilo au subiri mwezi wa pili uuze 3500/= kwa kilo.Huhitaji kusafirisha,leseni wala ushuru wa aina yoyote bali lorry...
  4. F

    Napataje malighafi ya mchikichi, nataka kuanza kukamua Mafuta

    Sorry nimeshindwa Ku quote. Bei za machine za kisasa sijui kwakweli labda SIDO wanaweza kuwa na details zaidi. Huku niliko ni kijijini na hakuna mwenye hiyo mashine ya kisasa hivyo ni fursa nyingine hiyo kwani watu watakuwa wanakuja kukamua kwako na kukupa pesa au mawese. Pia kama utakuwa na...
  5. F

    Napataje malighafi ya mchikichi, nataka kuanza kukamua Mafuta

    Njoo Kigoma kuna malighafi ya kutosha japo kwa sasa mawese yapo juu sana. Faida utakayopata ni kubwa sana endapo utaipata hiyo malighafi (magazi ). Kwa hapa nilipo changamoto ni ukosefu wa mashine za kukamulia. Watu wanakamua locally kwa kutumia mitambo duni ya kuzunguka kwa kutumia mikono...
  6. F

    Taja instrument(s) au sehemu ya beat ya wimbo inayokuburudisha

    Trayboi-bitch niggaaa. Hii ni funga kazi wanaitumia RFA show time kuanzia Saa nane hadi kumi jioni.
Back
Top Bottom