Recent content by frashigi

  1. F

    JamiiForums Tanzania Polisi & CCM na hila za ugaidi CHADEMA: Wakamata house boys na girl wa Lwakatare usiku...

    Yaani ccm huku nikuishiwa live,angalieni tu taratibu watafika mahali watakamata kuku na hata viatu kwenda kuchunguza,intelegincia yenu inafanya kazi gani nyie mpaka mshindwe mkamkamate mfanyakazi. Achani undezi bwana tumechoshwa na mambo yenu
  2. F

    JamiiForums Tanzania PICHA za Capt. Komba zenye utata zasambazwa kwenye mitandao ya kijamii!

    Kaka siku zote tunachofanya kinatokana sana na tunachofikiri,kwa hiyo kilichotokea kwa komba. Na hata akiomba radhi haitabadilisha kiwango cha udhalilishaji wa huyo binti. Na kwa vile huyo Ni zaidi ya mtu mzima na kiongozi ktk nchi hii Ni vema akawajibishwa kama hataona kuna haja ya kufanya hivyo.
  3. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaingiza Pikipiki 252 kuimarisha chama

    Chama makini hicho.
  4. F

    JamiiForums Tanzania KINANA: CCM ina mapungufu, Watendaji wa serikali wabadhirifu wanahamishwa

    Wanafiki tu hao wanajifanya kuwazuga wananchi,mmecheamka mnafikiri wote tuna upeo finyu kama watu wa ccm eh.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Nape amfyatua Mwigulu kuhusu BMK

    Na hapo ndio wameanza laana zao zitawatafuna sio mchezo,na vile mchawi wao alishakufa hakuna tiba ni kufa tu ccm sasa.
  6. F

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yasambaratisha CCM Iramba Mashariki

    Hawana lolote hao na siasa zao za kurithishana km wanawake wa kihindi. CDM Mpango mzima Peoplessssssss
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mbowe asinzia bungeni asubuhi hii

    Tupia picha yake tuione,na km kweli kasinzia lazima mmemuambukiza
  8. F

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ampiga katibu wa CHADEMA mkoa wa Singida

    Nyie mnaoitetea ccm ni watu kibao na sio watu ccm,wenzenu kina nape nyauye ni siasa za kurithishana wapigieni debe ifike mahali nao wawaachie watoto wao,lkn nyie mtatokea wapi? Mtaendelea na maisha yenu tu ya kawaida ya kuendelea kuhongwa fulana na kofia za ccm. Sana sana na vielfu 5 baada ya...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye ampiga katibu wa CHADEMA mkoa wa Singida

    Hongereni kwa maelezo yenu kuwa chadema ni km boko haramu,good Km ndivyo basi ccm ni wale wasichana hatuwaachii mpaka kieleweke
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi CHADEMA bado wapo?

    Hivi mtu unauliza chadema wapo una akili timamu kweli,alafu eti ni mpango wa Mungu au lah,kamuulize kikwete na Vicky kamata
Back
Top Bottom