Recent content by FrankLutazamba

  1. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Serikali, zungushieni uzio wa katika eneo watu wanapoteka maji na kuoga huko Buchosa, Sengerema kuepuka hatari za kushambuliwa na mamba

    Leo nimesikia habari ya mwanamke aliyeliwa na mamba huko Buchosa Sengerema na kuhuzunika sana.tunaiomba serikali itenge eneo ambalo watu watachota maji na kuogelea kisha waweke nguzo na seng'enge zitakazokuja mpaka nchi kavu na waweke geti ili mamba asiweze kutoka nje ya ziwa na kujichomeka eneo...
  2. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Serikali ya Tanzania kuwapeleka Polisi kutembelea wenzao wa Ujerumani, Uingereza, Australia, Ufaransa, China & USA kubadilishana uzoefu

    Nadhani ili kubadilishana uzoefu wa kazi ni vyema polisi wetu wakawezeshwa na Serikali kwenda nchi nilizozitaja hapo juu kuona wenzao wanafanyeje, ili kama kuna mapungufu wayajazilishie na kama wenzao wanayo wawajazilishie Mfano wataangalia selo zao na aina ya bajeti waliyojiwekea ktk...
  3. FrankLutazamba

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujitangaza kwa mabenki yetu kama NMB, CRDB, TPC, NBC, DTB, ABSA bank au makampuni kupitia shirika la Posta huku ukivuna faida ya mamilioni..

    Ndio maana nimesema makampuni yanahaha kujitangaza kwa gharama kubwa wakiona hasara wanajitoa ama kwa sababu wamekwisha jitangaza ila hii no no hasara
Back
Top Bottom