Recent content by frankchelsea

  1. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania kazi za emirates

    Pitia kwa mwanasheria upigiwe muhuri. Kama upo mjini nitafute..
  2. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Usaili TRA

    Dah.ninilitegemea mtihani migumu hivyo ni bora hata utungaji Wa UDSM na Mzumbe.kama wanatukomoa vile.
  3. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    Umekurupuka tu kutuma na kumbe hawahitaji.
  4. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania serikal itafaidika vp na wasom weng kuwa mitaani

    Jiulize utaifanyia nn
  5. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Tigo line ya wakala inapatikana kwa sh 500000/=, for charity

    Another line on sale
  6. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Ajira (zenye tija) nchini: Ripoti ya Benki ya Dunia na Mikakati ya Serikali ya Tanzania

    SerialI tupeni mikopo ya bei nafuu..ili pale tulipo kwama tujikwamue... tuboreshe biashara zetu..kama mimi nimejiari kwenye biashara ndogo lakin ili niendelee nakutana nachangamoto ambazo Vila kukopeshwa inaniwia vigumu...natumai watu Wa serikali mnapitia humu basi nisaidieni
  7. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Utumishi wametoa nafasi za kazi leo 27/08/2014

    Hio post zimetoka mwezi Wa name..leo ni mwezi Wa Tisa..bado wenzangu hamhoji tare he..
  8. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Tigo line ya wakala inapatikana kwa sh 500000/=, for charity

    Tigo pesa
  9. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina Shahada ya Sheria

    usikate tamaa..Komaa tafuta tubiashara ya kuingiza kipato..Mungu ndie mtoa riziki..kama IPO IPO tu.kuzaa si kosa LA jinai kama nyie wengine mnavyomjudge mwenzenu.. take it from me.. maisha ni kutafuta na sio kutafutana. Nakuelewa situation uliyopo..
  10. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Tigo line ya wakala inapatikana kwa sh 500000/=, for charity

    No negotiation...Only serious buyer. Ni pm.. Pesa inayopatikana ni kwaajili ya charity contribution
  11. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Call for interview, Mediator II and Arbitrator II

    Dumejike as ante kwa muda wako... sikuliona gazeti ila kwa msaada wako nimepata jibu..VP majina ya arbitrator.tuwekee plz
  12. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Tatizo la kujieleza kwenye usaili wa kazi

    Secret service na wadau engine mliochangia mambo mazuri sana haya mmetuletea..asante
  13. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Sijala toka jana nilipohakikisha sijachaguliwa uhamiaji

    Walirudia maswali Yale Yale mkuu.halafu unakuta sisi wenyewe MTU badala akaekimia akiulizwa na mwingine ambae hajafika zamu yake ya interview anaanza kumtangazia mwenzake maswali yalioulizwa.kwahio unakuta anaefuata anakuwa anaingia anajua maswali na ameshatafuta majibu ukizingatia interview...
  14. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Tunatafuta designer wa nguo za kushoot video ya wimbo

    Walihamia sinza Mori..
  15. frankchelsea

    JamiiForums Tanzania Kwa nini pia nafasi za internship hamna

    Yaaani ni shida.hata mie yamenikuta natafuta kwenye law firm hata kujitolea ili nijifunze kazi lakini hakuna anaenijua siitwi naambiwa a cha CV yako.
Back
Top Bottom