Recent content by Frank27

  1. Frank27

    Alikiba: Kalamu ya wino wa dhahabu

    Mkimaliza mabishano sikilizeni Karim-Alikiba Aje (French version) - Alikiba Bailando-ft nandy Hatari-ft Jay Melody Single boy-ft Lady jay dee Hasira za nini-Child Benz ft Alikiba Run dunia-Alikiba Pretty girl-Tox star ft Alikiba & Ngwair & Zilla For you-Patoranking ft Alikiba (leaked)...
  2. Frank27

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Akae akijua siku akizingua ntamfanya kitu mbaya zaidi huyo wa KOROE.
  3. Frank27

    Wimbo gani wa King Ali Kiba unaoukubali zaidi?

    Alikiba - karim Huu wimbo umekamilika kuanzia ujumbe, aina ya muziki(rhumba), melody, sauti.
  4. Frank27

    Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mimi nimeanza kuusoma huu uzi jana. Lengo langu ni ku print PDF ya huu uzi na pia mke wangu nitampa hyo PDF aisome. Kisha nitabandika ukutani.
  5. Frank27

    List of Nobel Prize winners

    Dah! umetisha mkuu, hongera.
  6. Frank27

    Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Nunua nyanya debe moja na nusu = nyanya 320.Tembeza mtaani ukiuza nyanya 4 kwa sh 500. Utapata 40000 faida 10000.
  7. Frank27

    Biashara ya Internet mtaani

    Hili ni wazo zuri sana na ni jipya, sio lazima tufanye biashara zinazofanana. Uhitaji (demand) wa internet kwa hii generation ni kubwa tatizo ni upatikanaji wake (affordability or supply), ni gharama mno. Mtoa mada ukiweza ku install na ku supply hii huduma soon utatoboa sababu kanuni za...
  8. Frank27

    Ziggy Marley Vs Damian Marley Vs Stephen Marley Vs Kymani Marley Vs Julian Marley who is the best?

    Beautiful is lit 🔥, huu wimbo nimeuskiliza ikabidi nitafute Uzi jf nijarib ku' compare na songs nyingne zenye mahadhi ya namna yake.
  9. Frank27

    Tunafunga na kuuza vioo vya TV

    Fundi ! tv yang inch 32 imevuja Kwa ndani haioneshi k2 ila haijapasuka kioo. Napataje ufumbuzi ?
Back
Top Bottom