Recent content by Frank M Clement

  1. F

    JamiiForums Tanzania Camera aina ya Sumsung inauzwa.

    Nauza camera yangu aina ya sumsung bei laki moja na nusu (150,000). Mazungumzo yapo kwa aliyenauhitaji. Mambo ya uchumi yamenibana sana mpaka nauza camera yangu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    ni wakibongo ?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Unatafuta nyimbo za Kiafrika (Kongo)? Karibu upatiwe

    Naomba Dally swing
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    1. Ninaomba wimbo wa Kaz T akishirikishwa ila simkumbuki mwenye wimbo. Wimbo una maneno haya "Nilisema sikutaki, naninasema sikutaki, narudia tena oh sikutaki.....Nilikupa last chance, sasa huna nafasi 2. Mtoto akililia wembe- TOT band (Banza stone) na Papii kocha 3. Maji yakimwagika - Pamo...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Watu wasiojulikana wavamia ofisi ya CHADEMA na kuondoka na msaidizi wa ofisi, haijulikani alikopelekwa

    WEWE WADHIBITI NDANI WAKITOKA NJE WATAKUTANA NAMIMI..................NAONA YANATIMIA
  6. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    kweli hamna visasi ndio maana kambona yuko hai. ndio maana mwanasheria mkuu wa zanzibar ni yuleyule wa tangu 2012.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nchimbi, Sophia Simba na Kimbisa wasema hawakubaliani na Uamuzi wa Kamati Kuu(CC)

    lowasa ni mwizi hafaaaaaaiiiii na yametimia
  8. F

    JamiiForums Tanzania Mhe. Lissu, 2015 imefika

    jidanganye. picha alishakuonesha serikali za mitaa 2014
  9. F

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    Wabunge wengi wa CCM wakiongozwa na Anna Makinda kama spika na Job Ndugai wamekuwa hawaeleweki bungeni wapo kwa ajiri ya nani, mwananchi(mpiga kura) au serikali (watawala). Japo kazi ya Mbunge ni kuwasilisha matatizo ya wananchi, lakini imekuwa kinyume kwa hawa wa CCM. Mfano 1. Wakati wa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Piga kura juu ya hili: Je wanachokifanya wabunge wa vyama vya upinzani ni sahihi?

    wako sawa zaidi ya asilimia mia
  11. F

    JamiiForums Tanzania David Silinde: Miswada ya Mafuta na Gesi inashinikizwa na MCC ya Marekani

    ccm na mashabiki wao ni wanyonyaji
  12. F

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    lakini pia alisema watu wa Geita wanamuomba akagombee huko....alipoenda kunadi chama chake shughuli aliiona Alisema kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka vyama vingine wanaomba kujiunga na ACT lakini mpaka leo siwaoni Alisema wabunge wote wa upinzani toka kigoma ili wadhinde uchaguzi ujao lazima...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Ni halali Kinana wa CCM kuongozwa kwa king'ora na Polisi?

    mie nimeshachukua lita 10 nasubiri elfu 20 jioni
Back
Top Bottom