Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

lakini pia alisema watu wa Geita wanamuomba akagombee huko....alipoenda kunadi chama chake shughuli aliiona

Alisema kuna wabunge zaidi ya 50 kutoka vyama vingine wanaomba kujiunga na ACT lakini mpaka leo siwaoni

Alisema wabunge wote wa upinzani toka kigoma ili wadhinde uchaguzi ujao lazima wajiunge na ACT lasivyo watashindwa...nasubiri uchaguzi ujao nione

Alisema atakuwa wa mwisho kuondoka chadema hapa sijui alimaanisha nini....

JAMAA HAAMINI ANACHOZUNGUMZA NA ANAZUNGUMZA ASICHOAMINI.
 
Mie huwa najiuliza wakisemaga watu wa mahali flani wananihitaji hawa 'watu' huwa watu gani hasa?
 
Zito ni mzigo mzito,
eti sasa anakuja na danganya toto ya kuenzi itikadi za Nyerere. Simple mind bwana....
 
Haya ya zamani tuayacheni,Ulimi uliteleza tu mheshimiwa akajikuta anaongea bila kujua.
 
Lol kweli jf ni kiboko ya kuumbua wasahaulifu na waongo wanaodanganya mchana kweupee....naomba zitto aitwe hapa barazani atueleze alimaanisha nini? Au nini kimembadilisha na kutaka kugombea ubunge tena?
 
CCM inaunga mkono mawazo ya yeyote yule yanayodhihirisha nia njema kwa maendeleo, mshikamano, ulinzi na usalama wa Taifa...

Nafikiri ingekaa hivi ingesound kidogo...CCM inaunga mkono MTU yeyote mnafiki, msaliti, fisadi, asiyempenda haki, asiyejali usalama wa watu wa taifa hili mfano polisi kuua RAIA na usalama wa taifa, nk.....
 
Zitto ni hazina Chadema, kuondoka kwake iwe kwa mazingira yoyote yawayo ni HASARA na PIGO kubwa sana kwa Chadema.

Nawahakikishia iwapo hii ni kweli, Chadema itapasuka. Period!

Zitto ni hazina act kuondoka kwake act kutafanya chama hiki kipotee kabisa kwenye ulimwengu wa siasa Tanzania.
Kwani watu wapo pale kwa ajili ya zzt na siasa zao za ukabila na udini.
Nendeni zenu bwana tunataka mabadiliko ya kweli na sio unafiki.
Siku moja nitafurahi zikiwepo maanda sinazohusu utaifa na sio hizi zenu...Mara team zzt, Mara timu lowasa.
Ni lini nitasikia team Tanzania?
 
sixgates We mwenyewe unaonekana hamnazo halafu unawaita wenzako wajinga. Sisi tupo na Zitto because yeye yupo kitaifa zaidi na sio kichama. Kwenye mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa ujumla anawekaga itikadi za siasa pembeni.

Ni mtanzania halisi wala sio mkanda,mdini wala mkabila.

Toka povu ila halitosaidia.

Ni wapinzani Gan ambao hawapo kwa ajili ya taifa?
Mbona kwenye aliwaappreaciate kwa kumuunga mkono kwenye jambo nyeti la taifa?
Acheni kutugawa watanzani tena mkome.
Eti fulan mdini tupe ushahid wa udini wake?
Nyie mnalia udini na ukabila ndio mnaofanya watu wa sehemu Fulani kukichukia chama flan kwa maneno yenu yasiokuwa na usyahi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom