Habari zenu wana JF,
Kuna magonjwa mengine kama yanadharirisha hivi jinsi ya kuyatamka kwa watu.. lakin ndo hvyo waswahli walishatwambia mficha malazi kifo umuumbua.. Mimi ndugu zangu nina tatizo la jipu limenitokea kwenye makalio pemben kidogo mwa njia ya haja kubwa..
Ni kama uvimbe ulio...
kwa bawasiri sidhani maana najisaidia choo cha kawaida tu, na nikijisaidia sipati maumivu yoyote maana mwenye bawasir husikia maumivu.. Mimi nahisi muwasho tu kwa nje pembeni mwa eneo la kutolea haja kubwa
Habari wadau.. Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu.. Nina kama mwezi sasa nasumbuliwa na kuwashwa kwenye njia ya haja kubwa.. Nimeshameza dawa za minyoo lakini tatizo bado lipo.. Kwahyo naomba mwenye kujua tatizo hili na dawa yake anambie..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.