Recent content by Frank Kubwera

  1. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chato iwe Mkoa kutoka kwenye Mkoa mchanga wa Geita ulioundwa 2012?

    Tofautisha Chato wilaya na Chato mkoa. Je wilaya za Kakonko, Bihalamulo, Ngara, Chato na Bukombe haziwezi kuunda mkoa.
  2. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chato iwe Mkoa kutoka kwenye Mkoa mchanga wa Geita ulioundwa 2012?

    Mkoa hautengwi kwa kutazama ukubwa ma ardhi. Ingekua ukubwa wa ardhi Dar Es Salaam ingejua wilaya tu.
  3. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Mzee Matson Chizi Mwizi maarufu wa Kura aliyehama CCM na kujiunga CHADEMA

    Watu tuna-count down tu ifike hiyo trh 25 tuchinje jitu CCM NA MAGUFULI YAKE
  4. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Naona baada wiki mbili zijazo huyu Maghufuli atajiita Lowassa ili apate kura zaidi
  5. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Lowassa aingiza Waisrael kutoa mafunzo ya Kijeshi, Apson Mwang'onda ndiye anadaiwa kuratibu

    Hizi propoganda za kishamba na kizamani katu hazita tutoa kwenye malengo yetu. Ieleweke watanzania tumeamua kumchagua Lowasa no matter what
  6. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Lowasa aanza kuwachezea rafu CHADEMA, alazimisha atengewe nafasi 30 za Wabunge

    Bla bla. Hakuna point mwanzo mpaka mwisho unataja lowassa weeeeee. Tulia kaka mbeya wanasema oil chafu ni dawa ya MchwaaaO:-)
  7. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Mzee Kisumo kijiji cha Ngujin Usangi, Alhamisi Tarehe 13 Agosti, 2015

    Anakuja msibani Jk usizimie
  8. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Serengeti ajiuzulu

    Serengeti ni mahala salaama kwa Ukawa. Nampogeza mkt wa CCM kujiunga na gari la ushindi
  9. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Imagine: Kutoka rais wa nchi hadi mwenyekiti wa chama cha upinzani

    Mi hufikiria jk ataamia SA kwa rafiki yake.. Zuma
  10. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania GE2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

    Propaganda at work... Ukweli ni kwamba. Katu hatuwezi kuchagua mtu aliyehonga nyumba ya umma. Sasa anatofauti gani na aliyehonga vyeo.
  11. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania NEC kuandikisha watanzania wenye sifa za kupiga kura nchi nzima ndani ya siku 30!

    NEC naona wanajipanga kuwafumika Bongo movie kwa maigizo.
  12. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wafanyiwa fujo mkutanoni Tanga

    wewe ndo kikwete kweli. kwani nchi hii pombe ni haramu. huoni bar Zimejaa kila mtaa.
  13. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kiongozi wa waasi wa ADF-NALU Uganda akamatwa Tanzania na kufikishwa mahakamani

    Sijaelewa kakamatwa akiwa nchi gani. TZ au.DRC
  14. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania CHADEMA washindwa kufanya mikutano Bariadi na Maswa

    hili ni liongo. miiutano yote.imefanyika. Umenishitua kidogo... kwani mkutano wa Bariadi umefanyika jioni ambapo Mnyika na Mayor Musoma walizungumza na.kuondoka.wakaelekea Maswa na kumuacha.Heche M/MKT kanda Madata na katibu mkuu Bavicha. Mnyika alifika Maswa saa 10:30 jioni na kufanya...
  15. Frank Kubwera

    JamiiForums Tanzania Picha: Mkutano wa ACT-Wazalendo Maswa (Tarehe 21 Aprili, 2015)

    Tulio jitolea kubadilisha nchi hii kwa njia ya CHADEMA. Tumejiandaa na ieleweke tumejiandaa. KUPIGA MBWA NA MWENYE MBWA.
Back
Top Bottom