*NAFASI 180 ZA KAZI TANAPA-TANZANIA NATIONAL PARKS*
*▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬▬*
*[emoji748]TANAPA YAMWAGA NAFASI KIBAO ZA AJIRA KWA WATANZANIA*
*Elimu : Kuanzia Elimu ya Form four/Certificates na kuendelea*
*Wanahitajika*:
[emoji748] Mafundi wanahitajika-Technicians
[emoji748] Wafanyakazi wa Patrol...
Nishawahi kuambiwa maneno kama haya, kufika kwenye usaili nkajua ni bonge la kazi siku naitwa kufanya kazi nikajikuta naambiwa panda daladala twende Gongo la mboto, nafsi ikasita kidogo nikajikaza kwenda kwa tahadhari kufika pale nikamkuta mdada mmoja ana begi kuuubwaaa limejaa sabuni eti tuanze...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.