KAMWENE, mnyalukolo.
Tunaamini viongozi wote wa ngazi zote wanaona kinachofanyika, ni wakati sasa kuwaomba kufuatilia jambo hilo bila UOGA wowote kulinda Mazingira, haki za wanakijiji pamoja na kuingia makubaliano / mikataba ya madini kisheria, ili Pindi makubaliano yatakaposhindwa kufikiwa...
Kwa mtazamo wangu Elimu ni kila kitu sema utofauti ni nini amesomea? Au Taaluma yako inaubunifu upi ktk maisha ya kawaida Knowledge can transform from different forms of achievements,point forward is how you use your Education?
Mpwpwa kipindi nasoma hadi leo ukienda unaweza ukahisi mambo ni mabaya kuliko nyuma tulikotoka.Mabadiliko ni madogo kuliko mategemea.Tuwaombee Viongozi wazione fursa zaidi.
Good feedback. Mbunge wa Mp anaweza kuzitumia kelele hizi kama ngao na nguvu zaidi za kumsaidia kuongeza mikakati ya kuwasaidia wananchi na sio kuishia kama wapiga kelele wanavyodai kuwa Kazi yake ni kupiga meza.Hoja hii ni nzito,Siamini kuwa kazi ya Mbunge ni kupiga meza,Kama kweli ni bora...
Ukarimu ni mzuri zaidi ya ujirani.Kuna jirani ukipata anakuombea kiwe kingi ila kuna jirani anakuombea uwe na matatizo ili yeye awe na FURAHA. Hatusemi tuwape bure mahindi WFP,Lakini mapambio ya maneno yanaweza kubeza ukarimu wetu kwa Wakimbizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.