Recent content by Francis Johnson

  1. F

    JamiiForums Tanzania Msaada ilipo topic ya biashara mbalimbali ambazo mtu anaweza kufanya

    Kuna mdau alipost biashara mbalimbali zaidi ya 50 ambazo mtu anaweza kufanya Lakin Hiyo topic sijaona tena Sijui imefutwa Kama kuna mdau anayo au alikopi naomba anitumie kwenye msg asanteni
  2. F

    JamiiForums Tanzania Kiwanda chafungwa kwa kusindika nyama ya Punda

    Malaysia 2009 walikamata Nyama ya kuku maelfu ya tani toka china,nyama ilikuwa ya mwaka 1960's waligandisha na kuweka chumvi na wanavyojua isiaribike,wachina Si watu kabisa Soma na hapa http://www.businessinsider.com/afp-decades-old-frozen-meat-seized-in-china-food-scandal-report-2015-6
  3. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote tusiokuwa na pesa za kuhonga tukutane hapa

    Ingekuwa bora wangekutana kujua namna gani wap ate pesa,Mimi uwa nashauri watu bure kuhusu maisha na ujasiriamali pia
  4. F

    JamiiForums Tanzania Lowassa Mwanasiasa Muongeaji Mzuri Ambaye Hana Mfano

    Kama tunataka rais muongeaji basi kingwendu na bambo watatufaa
  5. F

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Lowassa kama ndio hizi, Kazi ipo

    Hahaha Kazi ipo,Magufuri na Lowasa sio waongeaji ni watendaji jiulize unataka mtu wa porojo au mtendaji?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wanaume wote tusiokuwa na pesa za kuhonga tukutane hapa

    Wakopeshane Ili wakaonge!!
  7. F

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Hahaha ushaanza kugawa vyeo vya uwaziri kuwashawishi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Lowasa jana umetumiwa msg nzito sana! That is how people work!

    Waache wafu wazike wafu wenzako 'luka 9'
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais UKAWA-Mbeya

    Wanasema umati unapewa pesa hivi hao ni Kama nyumbu utawapa pesa kweli,Hiyo sio mafuriko ni Tsunami
  10. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gharama za kuprint gazeti na kampuni zinazoprint gazeti naomba anijulishe

    Asante mkuu,kwenye hii fani umesomea uhandishi au graphics?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayejua gharama za kuprint gazeti na kampuni zinazoprint gazeti naomba anijulishe

    Natumaini umu nitapata wahusika wenyewe au mtu anayejua gharama za kuprint gazeti Kama mfano ijumaa,kiu au Nipashe na mengineyo,naomba anijulishe pia na hizo kampuni zinazoprint Asanteni
Back
Top Bottom