Tuwe wakweli kwa uongeaji WA Lowasa inaleta mashaka sana na uwezo wake. Hivi huyu jamaa anatatizo gani? Sasa Kama kuongea tu hawezi majukumu ya Urais ataweza? Majibu haya wanayo wanaukawa ambao wao wanaamini Lowasa ni muongeaji {Orator} mzuri sana ambaye hana mfano. Kweli ukipenda sana ni tatizo.