Recent content by Francis Jackson

  1. Francis Jackson

    Msaada wa elimu au mawazo ya namna ya kuandika proposal la mradi huu ili niweze pata wafadhili

    Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya. Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri. Naitwa Francis Jackson Nkerame napatikana Nyakitonto Kasulu Kigoma Tanzania.Nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne...
  2. Francis Jackson

    Msaada wa elimu au mawazo ya namna ya kuandika mpango(proposal) ili kupata wafadhili

    Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya. Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri. Naitwa Francis Jackson Nkerame napatikana Nyakitonto Kasulu Kigoma Tanzania.Nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne...
  3. Francis Jackson

    Msaada wa namna ya kuandika mpango kazi ili uweze pata wafadhiri wandani na nje ya nchi

    Ndugu wanajamvi naomba Nianze kwa kuwasalimia HABARI ZA MAJUKUMU. Natumai muwazima Afya. Nimekuja kwenu kuwataka Msaada wa mawazo, elimu ikiwezekana pia hata mfadhiri. Naitwa Francis Jackson Nkerame napatikana Nyakitonto Kasulu Kigoma Tanzania.Nilihitimu elimu yangu ya kidato cha nne...
  4. Francis Jackson

    Mzee John Cheyo amesema kuna mwana ACT katika timu inayojadiliana na Acacia

    Inaitwa siri harafu wewe unatabiri utumbo?? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Francis Jackson

    Kete ya mwisho ya Maalim Seif ni kuunda chama kipya cha Siasa!

    Atakubali kwa maelekezo kutoka juu by plan Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Umewaza na umejadili kwa mantiki sasa naomba nijibu hoja yako. Kwanza naomba niseme kuwa kila upande ktk cuf inamakosa Nianze kuonesha makosa ya Pro Lipumba 1)Kuachia nyazifa zake na akatimukia mbali kwa kile yeye alichokiita kuwa ni kuisaliti nafsi iliyoamuni kuwa Lowassa ni fisadi...
  7. Francis Jackson

    Mgombea wa urais 2020 ACT- Wazalendo anaweza kuwa Lowassa

    Nimesema hivyo nikiamini kuwa Lowassa hana Uwezo wa kutimiza masharti ya kuwa mwanachama wa Act-wazalendo. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Umenena vema Maana Tz hii Hamna dictator kama DJ Mbowe. Hamna mwenye Uwezo wa kumkosoa au kuhitaji kiti chake akabaki salama. Mpaka Ktb ya cdm ameshaibadili ili kujipa nafasi yeye kuendelea kuwa m/kiti wa cdm Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Nimekuelewa bro. Jamaa walishafumba macho kuwa kila cheupe ni theruji. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Weka wazi huo umbea basi Uje unisute.sio uishie kulalama Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Jitahidi hivo hivo upate maudhui ya andiko langu. Maana cha muhimu ni maudhui na sio mwandiko. Mimi ni la pili D hivo sijajua kuandika vzr japo masuala nayajua Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Francis Jackson

    Mgombea wa urais 2020 ACT- Wazalendo anaweza kuwa Lowassa

    Ccm A, Ccm C nayo ni IPI??? Weka wazi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Sema utabiri sio mipasho. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Nimekupata Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Francis Jackson

    Mgogoro wa Prof Lipumba na Maalim Seif hautaiacha CHADEMA salama

    Lipumba ameshinda kesi ya akina Maalm kibatara na Lissu.. Kwa maneno halisi AMEUBWAGA UKAWA... Nachekaaaa....hata kama Kipumba wanamwita manina yootee....mimi nilishaa sema toka mda ule kua UKAWA hawana uwezo wa kushinda kesi hii...Na sasa lipumba anatoka na nguvu mpyaa. Anaanzakuchukua Ruzuku...
Back
Top Bottom