Recent content by franci45

  1. F

    JamiiForums Tanzania KERO Musoma: Mazingira yachoo chaa Stendi ya Bweri ni machafu, maji hakuna

    Natoa rai kwa mamlaka husika kufuatilia hali mbaya ya miundombinu ya choo katika stand ya Bweri Musoma. Vyoo hivyo vimekuwa kitishio kwa afya na usalama wa watumiaji kutokana na uchafu na ukosefu mkubwa wa maji ndani ya vyoo. Kinachosikitisha zaidi ni kwamba maji huwekwa kwenye vyombo maalum...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Tabia Mitandaoni: Je, Kuonyesha Maumbo Kumekuwa Sehemu ya Utamaduni Mpya Afrika?

    Kwa heshima kabisa, kuna tabia ambayo imekuwa ya kawaida sana siku hizi hasa kwenye mitandao ya kijamii. Wadada wengi wanapojirekodi video mara nyingi hugeuka makusudi kuonyesha maumbo yao hasa makalio, hadi imekuwa kama ni sehemu ya kawaida ya content nyingi za Afrika na hasa Tanzania. Swali...
  3. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chanzo cha Malalamiko na Muktadha wa Maandamano ya Oktoba 29

    Imeandikwa wapi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vituo vya mafuta vya Total energy hasa Dodoma toka juzi havifanyi kazi?

    Hivi ni kwanini filling station za Total Energy hasa Dodoma toka juzi vituo havitoi huduma kila kituo ninachoenda naambiwa mafuta hamna Inakuaje vituo vyote viishiwe mafuta tangu juzI Hizi ni hujuma
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni tips za sehemu nzuri Dar Kwa Outing low budget

    Nimecheka kifala
  6. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chanzo cha Malalamiko na Muktadha wa Maandamano ya Oktoba 29

    Rais anaachia madaraka baada ya rais mpya kuapishwa
  7. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chanzo cha Malalamiko na Muktadha wa Maandamano ya Oktoba 29

    Unachofanya hapa si kujenga hoja, ni kubadili simulizi bila ushahidi. Kusema “hayakuwa maandamano bali mapinduzi” ni kauli nzito sana leta uthibitisho wake: wapi huo mpango ulithibitishwa rasmi? wapi ushahidi wa kuandaa kuvamia Ikulu? Bila hivyo, hiyo inabaki kuwa propaganda, si hoja. Ukweli...
  8. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ripoti ya Tume kuhusu matukio ya Oktoba 29 iliyokabidhiwa tarehe 23 mwezi huu imeibua mjadala mkubwa na kwa sababu za msingi kabisa

    Kwanza, ni muhimu kukumbuka kwamba chanzo cha matukio haya hakikuwa vurugu zenyewe, bali ni malalamiko ya muda mrefu ya wananchi yaliyokuwa yakijadiliwa wazi mitandaoni. Kulikuwa na ishara za kutosha kabla ya tukio, lakini badala ya mamlaka kusikiliza na kuchukua hatua za mapema, kulionekana...
  9. F

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chanzo cha Malalamiko na Muktadha wa Maandamano ya Oktoba 29

    Chanzo kikuu cha matukio ya Oktoba 29 kinatokana na mkusanyiko wa malalamiko ya muda mrefu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa ambayo yalikuwa yakijadiliwa waziwazi katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu kabla ya siku hiyo. Maandamano hayakuwa ya ghafla, bali yalipangwa na kujadiliwa kwa uwazi...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Hivi TCRA ni mungu mtu chini ya jua juu ya vyombo vya habari

    Jamani kuna jambo linahitaji majibu ya wazi. Mwaka jana TCRA waliifungia JamiiForums kwa takriban siku 90, wakisema ni adhabu. Sawa, adhabu ikaisha. Lakini mpaka leo, ili kuingia kwenye hii platform bado watu wengi wanalazimika kutumia VPN. Swali langu ni hili: kama adhabu iliisha rasmi...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ana elimu gani?

    Hilo la jana Leo redio 47 atasemwa sana
  12. F

    JamiiForums Tanzania Je, wananchi wa Tanzania tunaweza kujivunia nini kama nchi na sisi kama wananchi?

    Wakati mwingine najuta kuzaliwa Tanzania
  13. F

    JamiiForums Tanzania Je, ni nani anayewadanganya wananchi?

    Kuna jambo linahitaji kutazamwa kwa jicho la tatu. Mara kwa mara tumekuwa tukisikia baadhi ya viongozi wakisisitiza kuwa Watanzania waliopo nje ya nchi au wanaokosoa mwenendo wa serikali wanatumika na “mabeberu.” Kauli hizi zimekuwa zikitumika kama njia ya kuzima hoja badala ya kujibu hoja...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Ni kufunga au kubadili muda wa kula tu?

    Uzuri mi tangu nizaliwe sijawahi shinda funga
  15. F

    JamiiForums Tanzania Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Kabisa lkn Africa wanataka vigezo km vya askari polis
Back
Top Bottom