Recent content by franceyusuph

  1. F

    Move ya Sarafina, Miss Masombuka

    Watch Hotel Rwanda. Mdada yule co- starring ni Sarafina
  2. F

    Meja Jenerali Muhidini Kimario(Kamanda Mbogo) afariki dunia

    Meja General Muhidini KimarioWatanzania watamkumbuka kwa uzalendo wake kwa matukio machache niyakumbukayo Wakati wa vita vya Kagera mwaka 1978 - 1979. Marehemu alitumwa na Mwalimu Nyerere akiwa kama waziri kuja kuwaaga wapiganaji waliokuwa wanaenda mstari wa mbele vitani. Akiwa katika uwanja wa...
  3. F

    TANZIA: Dr. William Shija, (Waziri wa zamani) amefariki

    Tanzia: Dr. William Shija, Waziri wa zamani wa Tanzania na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wabunge wa Jumuiya ya Madola amefariki dunia Leo London. Pia ndite aliyekuwa mbunge wa Sengerema kabla ya William Ngereja. RIP
Back
Top Bottom