Recent content by frakerg

  1. frakerg

    Marangu tour: Exploring Africa together!!

    Mi mkenya itanigharimu shillingi ngapi?
  2. frakerg

    Kuzuru Tz

    Akhsante Mkuu...Nimekosoa. Ningependa kujua utaratibu unaofuatwa kuingia Zanzibar kwa wageni wasiokuwa watanzania kutoka upande wa Dar.
  3. frakerg

    Kuzuru Tz

    Habari za mchana wanajamvi? Uzi huu ni wa pili katika hili jukwaa nikitafuta ushauri kuhusu suala hili. Akhsante kwa walionishauri katika uzi wa kwanza. https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/917117-kuzuru-dar.html Kwa kifupi mimi ni Mkenya mzawa wa jiji la Nairobi na nimepanga mikakati ya...
  4. frakerg

    Mapenzi yanapoteza utamu wake siku hizi

    Mapenzi si ya jamii bali ni kati ya watu wawili. Kama wewe hauna umpendaye sema kuwa unamtafuta mchumba.. Watu wengi wanasema eti hakuna mapenzi ya dhati siku hizi...Mbona basi wasitafutane wapendane ipasavyo na wafunge ndoa? Ukivuta subira na uwe mwangalifu utampata mchumba atakayekupa mapenzi...
  5. frakerg

    Binti alikuwa na heshima lakini sasa ana dharau, msiri na muongo

    Huyu mwache, mwanamke akiwa kisirani nyumbani mpaka inafikia kumzaba kofi hutomweza...Wanawake ni wengi kama mchanga wa bahari mbona ujifunge kwan asiye na heshima?
  6. frakerg

    Je wajua hii? Wanaume wavivu kupiga mswaki na kuoga ndiyo hupendwa mno na wapenzi wao

    Mbona basi wanaume wanasafisha wanakoishi na kuoga wakati wanadada wanawatembelea na bado wanapendwa?
  7. frakerg

    Wachumba (ke) wana tabia ya kulazimisha ndoa

    Mimi mzawa wa kenya na naishi Nairobi lakini sijamwona wa kulazimishana. Wanawake wasiotaka kufunga ndoa ni wengi tuu haja yao ni kuwa huru na kujivinjari. Wapo wengi watakaokuacha kama huonyeshi ishara ya kuwaoa. Wengine wao watakuacha wakaolewe na vijibaba vyenye mahela ambavyo hawavipendi ili...
  8. frakerg

    Kuzuru Dar

    2. Daladala fares are not expensive, it is almost Tshs 500 per route, though in some cases you need to take taxi (cab) especially during the night, or if you are visiting an area where there is no daladala route, these ranges from Tshs 10,000 to 30,000 depending on the distance; I am planning...
  9. frakerg

    Kuzuru Dar

    Thanks. Are you a member, Have you tried it?..Lemme check it out and see if it works in TZ. Thanks.
  10. frakerg

    Kuzuru Dar

    I read English is the only language for "the Palace" section of the forum. Not that you said it. I don't want to break rules :smile-big:. Thanks again, let me wait for help from others. If I don't get any I will wait and post in another section. Thanks
  11. frakerg

    Kuzuru Dar

    I hadn't noticed this is an English only section, my bad. Thanks for the welcome,. Would you happen to have any advice for me regarding my intended visit to Dar?
  12. frakerg

    Kuzuru Dar

    Salaam, Mimi ni Mkenya mzawa wa Nairobi na ningependa sana kuzuru Dar kwa nia ya kujivinjari. Hii itakuwa mara yangu ya kwanza kuzuru Tanzania, na simjui Mtanzania yeyote. Ningependelea sana kuzuru sehemu zilizokaribu na bahari. Haja yangu sana ni kuyaelewa maisha ya watanzania, na kuishi...
Back
Top Bottom