Recent content by Fradrick mkahe

  1. Fradrick mkahe

    Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Nikweli yamepingua kabisa Tanzania ipo salama
  2. Fradrick mkahe

    Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

    Chukua tahadhar tambua corona bado ipo jilinde ww na jiran yako GOD IS GOOD
  3. Fradrick mkahe

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    From Arusha kwa kweli kwa sasa huduma zenu kwa jiji letu zinaridhisha kabisa GOD IS GOOD
  4. Fradrick mkahe

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mm binafs naona tulipo sasa simahali pabaya kabisa GOD IS GOOD
  5. Fradrick mkahe

    Mwanamuziki Nguza Viking (Babu Seya) na Mwanaye Johnson Nguza (Papii Kocha), watoka jela kwa msamaha wa Rais Magufuli

    Unaweza kutuletea ushahidi kuwa tindu amepigwa risas na serikali ili tusibitishie wananchi ktk hili Hebu fanya hivyi twahitaji huo ushahidi wako na tutakutafuta ili utusaidie ktk hili yawezekana kuna kitu wakifahamu ww Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  6. Fradrick mkahe

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Kuzaliwa mwaka fulani haihusiki tunahitaji hoja Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  7. Fradrick mkahe

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Nikweli hajakosea kama tu tangu nijue Chadema hali leo mwenyekiti wao ni Mbowe tu huoni nitatizo ubunge udiwani watachukua lkn Urais watachora sijaona pale chadema mtu wakuwa Rais Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  8. Fradrick mkahe

    Hizi ni Sababu kwanini Scotland Yard na FBI hawana uwezo wa kuchunguza Kushambuliwa Tundu Lissu

    Kwann? Wasingekuja kuchunguza kibit au wale siwatu waliouwawa Lisu ndie mtu Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  9. Fradrick mkahe

    Ushauri: Walioikamata bombadia wasiikubali malipo nusu, pia wanaoidai Tanzania waisake Dreamliner kokote iliko

    Hujielewi mtoa post Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom