Recent content by Fraasha

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakurugenzi wa makampuni makubwa ni Wahindi?

    Nakipataje icho kitabu mkuu
  2. F

    JamiiForums Tanzania Biashara gani unaweza kuanza ukiwa na milioni 1 au chini ikakulipa kwa kudumu Tanzania

    Biashara yoyote ambao mtaji ni skills zako mfano consultancy ya kitu ulichosomea au ambao una skills nacho kama udereva etc
  3. F

    JamiiForums Tanzania Quantity surveying naomba internship

    Umemaliza mwaka Gani na chuo Gani. Field ulifanya Kwa mkandarasi au consultant?
  4. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Sijasikia kama mna watoto.Ungejilidhisha kama ni wako pia.Kama ni wako na unampenda mnaeweza baki km partners wa kulea watoto.Kwa maisha ya siku hizi ndoa nyingi ni open marriage tu Wala sio jambo jipya kwamba ww ni WA kwanza hapana.Kuna mdau mmoja ilimkutaga boss wangu fulani akamwambia aache...
  5. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa rasmi nikaribisheni team kataa Ndoa!

    Pole sana hii hatua Kila mtu atapitia.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    Hii ni start of point Kwa interested party tutakaa chini na ku possible numbers za investment.Na kujua return on investment yake itakua ngap .Tufanya makubaliano
  7. F

    JamiiForums Tanzania Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    Sure thing plots zipo kadhaa za kuanzia projects
  8. F

    JamiiForums Tanzania Subject: Exciting Investment Opportunity in Strategic Airbnb Developments – Tanga & Dodoma

    Dear Thinker's I hope this message finds you well. I’m reaching out to present a compelling investment opportunity in the booming short-term rental market. We are launching two exciting real estate development projects designed specifically for the Airbnb model, located in two of Tanzania’s...
Back
Top Bottom