Siku ambayo Irani itathubutu kumuua Trump ndio siku ambayo Dunia itaandika historia ya nzito dhidi ya Irani , nasisitiza ndio siku ambayo hatasalia muiranj hata mmoja kwenye USO wa Dunia.
Hujaelewa kusudi, nia na lengo la kuundwa wizara hiyo naomba nikueleweshe
Wizara hiyo imeanzishwa kuwa sauti ya vijana ambao ni wasomi au ni nguvukazi na haijaweza kutumika katika ujenzi wa Taifa.
Lengo la wizara hiyo sio kuingilia wizara nyingine bali kutambua fursa na kuzitumia kwa maslahi...
Kama ingekuwa inawezekana mmoja wapo wa hawa angekuwa waziri mkuu Taifa lingeenda mbali sana
1. Prof.Kabudi
2.Dkt.Bashiru
Kwa Prof. kabudi inawezekana ila kwa Dkt.Bashiru haiwezekani kwa sasa bila mabadiliko ya katiba kutokana na aina ya ubunge alionao
Hapo ndio watanzania watambue Mwl.Nyerere ni akili kubwa sana. Kwa muundo wa jiji la Dar kabla ya kuvunjwa na Rais Magufuli, jiji halikuwa na eneo la kiutawala kitu ambacho kilipelekea malalamiko mengi ya gharama yaliyopelekea kuvunjwa kwa muundo huo Ila hiki mwalimu alikiona miaka mingi...
Hiyo moja inayosheherekea mapinduzi matukufu ni halali kwa sababu hiyo Zanzibar ipo Ila ingekuwa haipo Kama Tanganyika wasingesheherekea kitu ambacho hakipo.
Katika masuala yasiyohusu Muungano, ni nchi gani zinazojitegemea? Sidhani Kama utasema ni Tanganyika na Zanzibar
Kama ulizaliwa ukaitwa Juma baadae katika kukua kwako ukabadili jina na kuitwa Hassan, utakapokuwa unasheherekea siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwako itakuwa siku ya kuzaliwa Juma au Hassan?
Hakuna Cha upotoshaji wala Nini Ila ndio ukweli ,siku ya Uhuru tutasheherekea Uhuru wa nchi ambayo ipo...
Baada ya CP Suzan Kaganda kuteuliwa kuwa balozi Sasa naona nafasi yake Kama kamishna wa fedha na mipango inaenda kuchukuliwa na mjumbe wa kamati ya fedha ya shirikisho la Polisi wanawake duniani-IAWP SACP Dkt.Deborah Magiligimba. Baada ya CP , Je ndio atakuwa IGP ajaye?
Nimeona mjadala mahali watu wakibishana kuwa leo ni Uhuru wa Tanzania au Tanganyika, nami nimeona kwa manufaa ya wengi nishiriki mjadala huu kwa kutoa mchango wangu wa mawazo.
Siku ya Uhuru Ina maana iliyo sawa na siku ya kuzaliwa kwa mtu. Kama mtu alizaliwa akawa anaitwa Juma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.