Recent content by fpricius

  1. F

    JamiiForums Tanzania Vyama vya CUF, NCCR na NLD Fanyeni maamuzi magumu sasa

    huna a.k.i.l.i kamanda kanawe macho au wew ni gamba nn?
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wananchi wajitokeza Kumlaki Kikwete Jijini Arusha Leo.....

    mimi nashangaa hivi chichiemu ni chama cha wanawake na wazee? mbona kila sehemu naona wazee na wanawake tu. tena kiduchuuu.
  3. F

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    mmmh mbona km wote ni wazee halafu wachache kweli. duu! chichiemu kwa heri
  4. F

    JamiiForums Tanzania Mada moto live on Channel Ten: Yaliyojiri mwisho wa wiki kuelekea uchaguzi mkuu

    chanel ten mmefirisika mawazo ya kumchukua mr taratibu kila mara. mko na upendeleo sana hamna jipya ndo maana watu sasa hivi wamepungua kuangalia vipindi vyenu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Ni kweli kapwaya na hana hoja za msingi.
  6. F

    JamiiForums Tanzania Ccm wanamjenga magufuli,Ukawa wanajenga taasisi.

    mtatiro yuko juu. kwa kujenga hoja big up bro.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Wasomi na wachambuzi wa kisiasa juu ya Magufuli BBC

    huo ni uzushi mm nimetazama BBC mpk saa sita usiku kipindi hicho sikuona na hakikuwepo acha kudanganya wananchi
  8. F

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri uchukuaji wa fomu ya mgombea Urais kupitia UKAWA-Lowassa

    daaa! naona ikulu hiyoooooo
  9. F

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe watahamia hata tusiowategemea naona inajidhihirisha

    kingunge anaweza kuwa ccm lkn moyo wote uko ukawa usijifariji.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kama hujang'amu kushindwa kwa CCM, soma alama hii ya Nyakati

    iwe na isiwe lazima kaanani tuione tuuuuuuu
  11. F

    JamiiForums Tanzania Askari shupavu akifa, mapambano hayakomi

    hongera move on!
  12. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba wa kuoa kutoka kanda ya ziwa

    Mimi ni mwalimu nafanya kazi katika jiji la Mwanza natafuta mchumba ambae yuko tayari kuolewa sasa mimi ni mkristo. awe na umri kuanzia miaka 22 mpka 30. awe na kz au hana haina shida. akitoka ktk makanisa ya kipentekost ni sifa ya ziada mimi nasali ktk kanisa la KKKT. piga 0659336264
  13. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume umri kuanzia miaka 35 - 45

    nipigie tuongee 0659336264
  14. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mke mfanyakazi awe mkristo

    Mimi ni ni mwalimu nimeajiliwa serikalini ninafundisha sekondari. najitokeza katika jukwaa hili kutafuta mwanamke mcha MUNGU. mwenye umri kuanzia miaka 24-30. Kama upo nipigie kwa 0659336264 kumbuka kupima ni mhimu,niko serious.
  15. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    nipigie kwa 0659336264 natamani km ndoa ingekuwa mapema sana
Back
Top Bottom