grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hongera dada yangu kwa hekima na busara uliyoionesha, nimepata picha ya aina ya mwanamke ambaye mwanaume ni vigumu kujuta akiwa nae.
Maana pamoja na baadhi ya michango kuwa na maneno ya kumkera mtu, bado dada mleta uzi ameyajibu kwa busara sana
Maana pamoja na baadhi ya michango kuwa na maneno ya kumkera mtu, bado dada mleta uzi ameyajibu kwa busara sana