Recent content by Fpam

  1. Fpam

    Natafuta Mwenza wa maisha (Mchumba)

    ha ha ha ha waje waokoe timu
  2. Fpam

    Natafuta Mwenza wa maisha (Mchumba)

    Hapana hayo ni mawazo yako. sijaandika umri wangu hapo. sijachelewa ila naamini huu ndo wakati sahihi kwangu mkuu.
  3. Fpam

    Natafuta Mwenza wa maisha (Mchumba)

    Habari wana MMU. Mimi ni kijana wa kiume. Baada ya kujitathimini mimi binafsi, bila kushawishiwa na mtu (external influence) zaidi ya moyo wangu napenda kutangaza wazi kuwa nahitaji mwenza kifupi mchumba binti mwenye umri usiozidi miaka 28 kwa ajiri ya kuanza serious relationship ambayo Mungu...
  4. Fpam

    Waziri anajipatia nafuu kwa kucheza na lugha (relief)

    ndo umesha mshauri hivo ha ha ha ha
  5. Fpam

    Waziri anajipatia nafuu kwa kucheza na lugha (relief)

    Mradi watrini upi? ipo mingi kuwa specific Tuwe na tabia hata ya kushauri sometime baadala ya kulaum kila kitu, wote tunajua udhaifu wa serikali yetu na pia tumeshuhudia namna Mwakiembe alivo lazimisha hata hivyo vichwa viwili kupatikana tumpe mda
  6. Fpam

    Alibaba ni matapeli au? Msaada please

    kiongozi nashukuru siku nikitaka kufanya transaction ntaku consult ili unielekeze vizuri
  7. Fpam

    My impressions: Tanzania Mining, Energy/Oil & Gas and Infrastructure Indaba 2012.

    Minerals contribution is 3.3% because of the corrupted government under ccm,if it is pocble for Botswana our comred african why not tanzania?
  8. Fpam

    Alibaba ni matapeli au? Msaada please

    tunashukuru mzee kwa maelezo mazuri Unajua watu wengi wana wrong perception na wachina pamoja na wawekezaji kwa ujumla, wanachujua wachina ni watu wa feki kila kitu. hivi sasa wachina wanatisha dunia kote, makampuni mengi makubwa yanawekeza huko japo hali imeanza kubadilika kidogo kulingana na...
  9. Fpam

    Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    mm nataka kujiunga mbona nikienda huko nakuta closed Tafadhari nipeni maelekezo namna ya kujiunga hapa
  10. Fpam

    Zitto akaribishwa NCCR-Mageuzi Urais 2015

    Jamani msiwe na akili za samaki kama masisiemu, ZKK anatumiwa na ccm believe me na yeye alikuwa kitu kimoja na kisandu hadi kutangaza kugombea urais nadhani na yy ndo alimshauri aende nccr Hebua angalia uhusiano wa mbatia na Jk then Zitto na Jk, Zitto na TISS, Zitto na Rostamu, tazama zitto na...
  11. Fpam

    Lissu: Hakuna sababu ya baadhi ya watu/vigogo kuwa juu ya sheria

    Kama katiba yetu ikijumuisha hayo basi tutakuwa tumepiga hatua sana ya kujiletea maendeleo, wananchi watakuwa na nguvu sana na uwajibikaji utakuwepo
  12. Fpam

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Una maana serikali ikirudisha hizo huduma zote kwa makanisa na makanisa yakaamua kutoa huduma kwa wikristo tu nyie waislamu mtakuwa na uafadhali wowote? your dead my friend, nyinyi shukruni hali iliyopo inawasidia sana
  13. Fpam

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Tukichukua kile nyie mtabaki na nini tena? Au makamba sekondari?
  14. Fpam

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Mkuu usijifanye na wewe hujui mambo 1. hebu tuambie what is the role of the government? hasa kwenye elimu na afya 2. imeshaelezwa humo kuwa serikali ilishindwa kuendesha hizo shule na mahospitali hivyo ikaomba msaada na hapo TEC&CCT walikuwa kama development partner tu lakini lazima wawe na...
  15. Fpam

    Mkataba (MoU) kati ya Serikali na Kanisa Katoliki na Taasisi nyingine za Kidini

    Hawa waislamu watakufa wanalalamika kwa ujinga wao Juzi mmeona wenyewe kule Mkuranga jimboni kwa Mlima, wananchi mchana kweupe wanasema wanaona bora kupeleka watoto wao wakasome madrasa na sio shule ya msingi eti shule ya msingi michango ni gharama kuliko madrasa. na Malima aliwambia wachangie...
Back
Top Bottom