Recent content by Foxtale

  1. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi walipishwa michango shule za msingi jijini Dar es Salaam

    Wengine wamebeba dhana ya elimu bure kama kapu kubwa lisilo na kitu. Mfano serikali imesema itatoa elimu bure lakini mwanao anaenda shuleni hakuna mwalimu wa biology au kuna upungufu wa madawati kwa hiyo utasubili hadi serikali itakapotekeleza au utafanya unaloweza unapoendelea kusubili
  2. F

    JamiiForums Tanzania Bunge na Serikali msikubali kumhudumia mtu aliyejifanya hahitaji msaada wenu

    Nashauri mada zinazoandikwa mtindo huu zisiwekwe mahali hapa. Nasema hivyo kwa sababu great thinker hawezi kuandika vitu kama hivyo
  3. F

    JamiiForums Tanzania PSPF huu ni sawa na utapeli

    Uhakiki wa umri haujaisha acha tuendelee kusoma sasa tutaanzA na za kirumi
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Mwanafunzi akipata mimba mzazi jela miaka 30

    Nchi ya kufikirika hayo yanawezekana lakini haiwezi kuwa hivyo siamini kama tamko hilo linaweza kutoka kwa kaka mkuu wangu. Hivyo vifungu vya sheria watakopa nchi gani au itakuwa kwa hisani ya watu wa merikani
  5. F

    JamiiForums Tanzania Ameolewa wana mtoto mmoja, tangu ajifungue hajawahi kupewa unyumba na mumewe

    Mwambie rafiki yako asishughulike na tatizo ashughulike na chanzo cha tatizo, ndoa zina mambo mengi na kama kweli anataka ushauri ili ndoa yake ipone apambane na chanzo na naamini hicho chanzo yeye anakifahamu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Majibu baada ya kuomba kazi online

    Mara zote "don,t trust anybody, sometimes even yourself" hiyo ni interview gani mbwembwe nyingi ni kama mnaenda kutoa posa
  7. F

    JamiiForums Tanzania Nikihama chuo, mkopo wangu uliobaki unaweza kuhamishwa?

    Kuhamisha mkopo kutokt chuo kimoja kwenda kingine kuna usumbufu mkubwa ila inawezekana
Back
Top Bottom