Recent content by foxbarrhaven

  1. F

    Waziri Mkuu wa Canada ajibu barua ya Magufuli kuhusu Bombardier. Asema hawezi kuingilia Mahakama...

    Mheshimiwa Ze NDINDINDI Ni kweli Queen ni head of State wa Canada,lakini Trudeau sio kama Majaliwa...Trudea ni kiongozi wa shughuli zote za serikali ya Canada ie ni mkuu wa jeshi,anawajibika na mambo ya uhusiano wa kimataifa,anateua majaji wa mahakama kuu (supreme court of Ca),ni mkuu wa mambo...
  2. F

    Mchina aliyepata "A" tisa NECTA

    Usedcountrynewpipo umesema Wachina wanatengeneza iphone sawa kabisa na zinazotengenezwa na Wamarekani Aaaah hii siyo kweli,ukweli ni kuwa Wachina wamekuwa wakitengeneza vitu vingi kwa kuiga hasa kutoka North Amerika,Europe na Japan Iphone wanazotengeneza zinafanana sana na iphone zinazotengezwa...
  3. F

    Je! mtandao ukiwa na download speed kubwa ndio mzuri ?

    Chief Mkwawa wewe ni moja ya Watz ambao mchango wenu unatakiwa sana kwa jamii ya Wabongo Umetoa mchango wa elimu yako pasi kuleta mambo ya siasasiasa kwa kuegemea upande wowote ule Ulichoongelea ni kweli tupu,mimi natumia IPTV ,aina ya box ni ULTRA 4 QUAD CORE,operating system ni Android 4.4 na...
  4. F

    PUTIN said"Trump an outstanding talented absolutely leader.

    Huwezi kumlinganisha Trump na Obama...Obama wakati wa kampeni alikuwa anachunga sana ulimi wake,Trump hayuko hivyo!!!!
  5. F

    Rais Kikwete afanya uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu watano wapya

    Aaaaah wewe unadhani anawakomoa wapinzani...NO hili ni janga la kitaifa including you and your family
  6. F

    Ikulu yakanusha Mshahara wa Rais Kikwete kufika dola 192,000

    Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana siasa za Tanzania hasa kwa awamu hii ya nne Nimegundua kuwa sehemu kubwa ya utapeli unaotokea ktk siasa za Bongo unaanzia Ikulu Mshahara wa kiongozi yoyote yule anayechaguliwa na watu au kuajiriwa na serikali sio siri Mshahara wa rais wa USA sio siri kwa mtu...
Back
Top Bottom