Recent content by Four-Star General

  1. Four-Star General

    Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  2. Four-Star General

    Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Msijifanye mmesahau
  3. Four-Star General

    Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Naendelea kuwakumbusha
  4. Four-Star General

    Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Kiungo wa katikati mwenye uwezo wa kuhimili mechi za aina zote. Victor Akpan sijui juzi alikuwa wapi?
  5. Four-Star General

    Huyu hapa beki kisiki wa kuzuia mipira ya juu na chini Mohamed Ouattara

    Hayo sio maneno yangu, ni maneno ya watu wa Simba walivyokuwa wakimpamba beki wao mpya. Najiuliza baki wa dizaini hii juzi alikuwa wapi?
  6. Four-Star General

    Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Wanazidi kutushangaza
  7. Four-Star General

    Simba na Yanga hazitofuzu kwenye makundi yao

    Wote wataishia kutolewa katika hatua ya makundi. Sioni timu yoyote ya Tanzania iliyovizuri katika michuano ya kimataifa. Kwahyo nawaomba mpunguze matarajio makubwa vichwani vyenu
  8. Four-Star General

    Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  9. Four-Star General

    Mtaje mchezaji ambaye hujawahi kumuona akicheza ili wakongwe wakuchambulie sifa zake

    Alan Shearer alivunja rekodi mara mbili ya usajili enzi hizo. Kwanza kabisa alipotoka Southampton kwenda Blackburn ambapo alitwaa ubingwa huku magoli yake yakichangia ubingwa. Mara ya pili alivunja rekodi alipotoka Blackburn kwenda Newcastle. Jamaa alikuwa analijua sana goli. Kilichomfanya...
  10. Four-Star General

    Mtaje mchezaji ambaye hujawahi kumuona akicheza ili wakongwe wakuchambulie sifa zake

    Roberto Carlos alikuwa full back wa kushoto mwenye uwezo mkubwa sana wa kupanda na kushuka! Alijaaliwa uwezo wa kupiga mawe. Ni miongoni mwa mafullback bora wa kushoto wa muda wote
Back
Top Bottom