Recent content by Foundation

  1. Foundation

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Amehamishiwa wapi?
  2. Foundation

    JamiiForums Tanzania Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Wakati unaanza hii mada sikuielewa, nikaishia kusubscribe tu. Leo umefika kurasa ya zaidi ya 2000 ndio najua kumbe kuna madini.
  3. Foundation

    JamiiForums Tanzania Nakula ila Sipati choo msaada jamani

    Ilishawahi kunikuta hali kama yako miaka mingi nyuma. Kula papai, ndizi, kunywa maji sana, wapi ikakataa. Mtu mmoja akaniambia utakuwa na ngiri, ngiri huwa inazuia choo pia. Nikaenda pale Kariakoo Sokoni
  4. Foundation

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliambiwa hutoweza kukifanya na sasa unakifanya freshi tu?

    Kisa kilikuwa ni nini mpaka maneno yote yamtoke???
  5. Foundation

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umewahi kuona ukaamini uchawi upo?

    Niliwahi kutumia hii kwangu, kuchoma na kimwaga. Hiyo sehemu ilikuwa kila mara bundi wanasogea na kusumbua, mtu aliyekuwa anaishi pale alikuwa hapati usingizi. Mwezi wa 4 huu, bundi hawajai kusogea tena, jamaa analala vizuri na lepe la usingizi.
  6. Foundation

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mbiki Msumi?

    Kwa data zilizopo, ni kigogo pale OUT, ni msomi wa Sheria akibobea katika eneo la Constitutional and International Law. Nenda pale OUT kaulize.
  7. Foundation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Tena kubwa sana, ni zaidi ya miruko 2,000
  8. Foundation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Km 10 ni wastani wa saa moja hadi saa moja na dakika 10.
  9. Foundation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Je, kukimbia km 10 kwa siku kwa angalau siku 4 kwa wiki? Inasaidia? Maana majukumu mengi
  10. Foundation

    JamiiForums Tanzania Mashaka Ngole akabidhi bettri ya gari aina ya N 70 kwa Jumuiya ya Wazee

    Hli betri hata laki 5 linafika?? Wanasiasa hata vitu vidogo mnataka muonekane.
  11. Foundation

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Mzee, mjadala tu, hakuna panic. Hapa tunapanua wigo wa uelewa.
  12. Foundation

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ile ya Ziwa Chumvi, sio ya mawe. Ni og au sio og?
  13. Foundation

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Kuna uzi kama huu. Kuna chumvi ya mawe, hii inapatikana Mikoa ya Pwani, baharini. Kule Mikoa ya Kaskazini, Maeneo ya Hanang, kuna Ziwa linaitwa Ziwa Chumvi. Humo unapata chumvi isiyo ya mawe, na magadi. Na wao wanaamini chumvi yao inasaidia kuondokana au kuepuka mabalaa yanayosababishwa na...
  14. Foundation

    JamiiForums Tanzania 1980's Stewart alikufa Maji Kinondoni bwawani na Antony Kamtawa alikufa maji Selender bridge, Zimamoto walishindwa 40 years tuko vilevile!

    Miaka ya 90 niikiwa dogo, tukipita, tulikuwa tunamuona pale ghorofani, huku magari ya Siri Yako yakiwa yamepaki pembeni
Back
Top Bottom