Tumia akili! Hatuishi dunia ya romeo and Juliet mwambie hujajipanga so in brief huna ata getto wala sehem ikiwezekana sema uko kwene process kutoka kwa rafiki yako uishi mwenyew so huna pahala pako unapo ita makazi..
Tumia busara si hisia tumia akili sio kichwa ..
Tengeneza mazingira kaishi...
Concept ya kifo huwa sijawai elewa kabisa kwa kweli ... ni dhahiri hatukupaswa kuogopa kufa.. ila ku ng'ang'ania kwenda uko ingali twajua uko kuna uzima wa milele na mateso hakuna .. kula kunywa ni bure ..
sasa sielewagi why unauzunika badala ya kua na wivu kawai siti
ila anyway "life is...
Sawa braza ake feisal atakua amesoma na amekusikia .. ntamsisitiza nikimuona kua brother haujapenda mdg wenu alicho wafanyia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunapoteza vijana wa hili taifa kwa kweli... hata ili nalo nilakupeana ushauri kweli.
"serikali itenge bajeti kwa vijana" alaumiwe serikali tu hakuna namna.
jiamini chakata mbususu iyo kwa level za kiintelijinsia ... kaplo sijui mabaka mabaka izo nguo tu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu bhn mnamakasiriko sana .. changamoto haswa ni nn mwakinyo kuhairisha pambano au wewe kuingia hasara ya 50k ...
ili tujue tunaanzia wapi ili swala.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anyway speaking from fact ..
ulisikia wapi magaidi wana sema "praise the lord uku wakiwa na panga" au "Halllelujah" uku wana mtutu..
sina maana muslim ni ma gaidi hapana ... maana ata wa kristo wana vigund uko west africa .. ila wengi wapewe
siku sikia "Allah Akhabar" kwa public afu kaa...
Achana na hawa wote njoo naiyo pesa apa kitambaa cheupe niamini mm tukitoka tutakua na wazo.
wazo unalo unahitaji ushauri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyuzi hatari na zenye taarifa ogofya ambazo hukuwai pata popote pale isipo kua humu..
Hongera mkubwa .. yaani nasoma napotea nalejea najaribu elewa sielewi inaitaji ubongo wa kutafuniwa apa tushawakosa
mtoa mada anahitaji wazo la biashara gani afanye ... watu wanatoa ushauri ulio nje ya wazo its as if asha pata wazo la biashara
tujitahidi kua specific
with fact mhusika tayari ana exeperience unaanza mshauri biashara akili ... so do u think yeye hana akili na ka shasema katoka microfinance...
"Another 2000's Kid trying to demand his/her right"
ni mfumo kama ilivyo siasa ni mfumo .. ko mfumo ni mfumo ambao ndani yake kuna mifumo ili uelewe mfumo inabidi uwe kwenye mfumo.
utakuwa utaelewa tuna maanisha nn
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.