Recent content by Fortuner GT

  1. Fortuner GT

    Dr. Slaa: Magufuli haogopi kupoteza kura kwa kukemea ufisadi na kusema atawafunga wala rushwa!

    Dr hajanifurahisha kabisa nasisitiza kabisa. Alishajua CCM wamemsimamisha Magufuli kipindi kile cha mpito kabla UKAWA hawajasimamisha mgombea wao. Je yeye ni bora kuliko Magufuli? Kashfa zake za Uadilifu na zile za Magufuli zipi zina unafuu? Anatuaminisha kwamba kama angegombea yeye angekuwa...
  2. Fortuner GT

    Wiki ya kwanza ya mwezi Septemba, UKAWA watapatwa na mtikisiko Mkubwa sana ambao haujawahi kutokea

    UKAWA Mnabadilishiwa focus bila kujua mtaanza ku concentrate na kumjibu Dr. you have to be very calculated.Alikuwa wapi muda wote.
  3. Fortuner GT

    Mada moto Channel 10: Edward Lowassa ndani ya UKAWA. Polepole amfananisha na malaya...

    Polepole alikuwa na hoja ya msingi sana lakini hakuwa 'objective enough' kuaminiwa kama mzalendo(ni Msisiem tu kama wengine). Anadai UKAWA umekaribisha mtu aliyekuwa against nao wakati wa Bunge la Katiba kwa hiyo atampinga milele. Sasa inabidi awapinge masisiem wote waliokuwamo kwenye Bunge la...
  4. Fortuner GT

    Mchechu wa NHC aundiwa zengwe

    Kwani hizo gharama si shirika linagharamia au nguzo za umeme kwa mfano, TANESCO hutoa bure?, mabomba ya maji je? DAWASCO hutoa bure? NHC wakienda kwenye viwanda ama maduka ya Hardware wanapewa vifaa bure?., Barabara je Halmashauri za miji ndo zinachonga au shirika linagharamia miundombinu hii...
  5. Fortuner GT

    Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

    Bongo kuna escalator nyingi tu...do your home work kabla ya kucomment, Ubungo plaza( Blue Pearl Hotel), Quality Centre Shopping Mall haujaziona huko au unaongelea TZ nyingine mkuu.... Mbeya City inahitaji kijifunza kwa Arusha, wao waliona mapungufu yao na wanayafanyia kazi, kuna satellite city...
  6. Fortuner GT

    Jiji la Mbeya kama kijiji

    Tanzania yote kwa ujumla miji yake haijapangwa vizuri, hakuna anayejali...watu wako busy maofisini wanakimbizana na Posho za vikao, per diem, na dili za viwanja vya makazi. Maeneo ambayo hajaendelezwa wanapima viwanja vya makazi wanapeana ili waje kulangua baadaye. Kuna haja ya kuwapeleka...
  7. Fortuner GT

    Nini Tofauti ya TB Joshua na Mwingira??

    Kwa nn tunamu' Underestimate Mungu kwa kiwango kikubwa hv tena hadharani! .........Fimbo ya Musa ilizimeza zile za wachawi kuonyesha uweza mkuu wa Mungu. Mbona hilo haujaliongelea? Fanya research za kutosha kwenye You tube videos za TB Joshua utaona hao wachungaji na mitume wanaotumia nguvu za...
  8. Fortuner GT

    T.B. JOSHUA Alitabiri Kupotea kwa Ndege ya Malaysia

    Maadam umenielewa khsu Matendo ya mitume natumain utafuatilia zaid.... hayo ya TB J na mwenendo wa ukristo wetu tunayapima kutokea hapo. Khsu kuuzwa kwa Anointing Water sijui lkn ninaowaona wakishudia emmanuel tv na You tube ni bure. Yale maji yamekuwa packed vizuri hiyo gharama unaifanyaje...
  9. Fortuner GT

    T.B. JOSHUA Alitabiri Kupotea kwa Ndege ya Malaysia

    Mkuu natamani ungenielewa nilichokimaanisha kwa kutoa rejea ya Kitabu cha Matendo ya Mitume.. Lakini natumaini utanielewa tu kama uko tayari kuelewa. Kwanza ningependa ufahamu kuna utofauti kati ya Nabii na Mtabiri. TB Joshua ni Nabii na si mtabiri kama unavyodai wewe. Nabii hatambuliki kwa...
  10. Fortuner GT

    T.B. JOSHUA Alitabiri Kupotea kwa Ndege ya Malaysia

    Biblia ndo mwongozo wa mkristo yeyote, nimefuatilia mafundisho na kazi anazifanya TB Joshua kwa muda mrefu nimegundua yote yanayofanyika SCOAN hayana tofauti na yale tunayosoma kwenye kitabu cha Matendo ya Mitume. Ukiangalia kwa makini kwenye makanisa yetu ya sasa utagundua waumini wanaona yale...
Back
Top Bottom