Recent content by Fortilo

  1. Fortilo

    Sajili mali kwa jina la mama au ndugu yako anaejitambua, hutapatwa na stress yoyote kuhusu mgawanyo wa mali na mwenzako mliekutana mkiwa na meno 32

    Chief with all the due respect- Unatafuta kifo cha mapema. Achana nae mapema kabisa, gawaneni hayo madeni machache. Hakuna mwanamke mwenye akili atakuvumilia na hii strategy na pia huna haja ya kuish kwa mashaka kwenye maisha mafupi namna hii Akili ni zako , msiba ni WA familia
  2. Fortilo

    Nguvu ya uwanaume inapotea kwenye jamii, wanaume tufanyaje?

    Wanaume wengi walipoteza pambano zamani sana- 1. Mlivyoanza kwenda na wake zenu kliniki mchezo ulianzia hapo- 2. Kiuchumi mwanaume mnachangia maendeleo ya famili na mwanamke 3.Mwanaume kwenda kulala ukweni- 4.Mwanaume kula nyumbani kila siku- 5.Mwanaume kulala nyumbani kila siku- 6.Mwanaume...
  3. Fortilo

    PostGE2025 Kwa Tanzania ya sasa mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti ama Stashahada ni mzigo kwenye maendeleo ya taifa

    Kwamba walipe Kodi wowote ila kwenye kaz waangaliwe wenye digrii tu? Embu tutajie majukumu yao labda tutakuelewa ndugu Msomi How old are you?
  4. Fortilo

    Elon Musk aelezea kwa nini nchi za Dunia ya 3 zinazaliana kwa wingi

    Hizi ni Propaganda tu, Miaka ya 80-90 India walizaliana sana na Sasa ni nchi ya nne kwa Utajiri duniani(GDP) baada ya China, US na Germany.. Best human resources in the world are coming from China, India, US etc.. Ukiacha nchi zote zilizowatawala wengine na kuiba rasilimali.. Nchi zenye...
  5. Fortilo

    Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Pengine labda bado mdogo- Sisi tushadhulumiwa vya kutosha na tunadunda- we leave it to God.. Na tukarudishiwa mara dufu.. Wachana na hiz story za vijiweni na tabia za barabarism- man eaters.. Utapoteza zaid- huyo aliemtoa dogo uhai hakuna atakachofaidi
  6. Fortilo

    Polisi: MC Pilipili alifariki dunia kwa kipigo. Mwili ulikuwa na majeraha

    Unachekesha sana- Kifo sio adhabu kijana. Na sio kila damu huwa inamwagwa kizembe tu- Labda kama umedhamiria kufa na wewe- Jela etc.. Hizi bla bla za visasi ni za malimbukeni sana.. Mara zote busara huwa mshindi
  7. Fortilo

    TANZIA Rest in peace Valentina (JF Member)

    Dah, what happened? Nakumbuka last time tunachat personally na kutuunganisha kwenye magroup ya Whatsapp 2015 kabla ya Uchaguzi mkuu. Hakika alikuwa mtu mwema .. Apumzike kwa Amani dada yetu.
  8. Fortilo

    Ukishafika miaka 40 STAAFU

    Hivi unajua 40 years ni miaka 15 baada ya 1st degree? Hapo ndio imeanza kuingia kwenye Executive committee.. kama una bahati.. Ungesema labda 55 sawa, ila 40 unasema mwil umechoka? Unadhani kila mtu ni mcheza mpira? Age just a number, tokeni usingizini.. Hivi Trump ana Sabina ngap?
  9. Fortilo

    GE2025 Mgombea wa ubunge CHAUMMA avalia mavazi ya CHADEMA kwenye kampeni

    Vip akikwambia wao ndio wamekiasisi CDM utambishia? Cl
  10. Fortilo

    GE2025 RPC Ruvuma: CCM ni kubwa huwezi ukaingia ghafla na kuishinda, sisi tunatetea wote mdogo na mkubwa

    Kaongea Fact.. Vyama vinatofautiana ukubwa.. Republican na Independent party za US are not the same... Nikama ilivyo ACT kwa CDM au Chaumma kwa SAU CDM ilipoteza mikakati yake na uweZo wake ilipoanza kuachana na mikakati ikaenda kuwekeza kwa wanaharakati uchwara... Afande ni Smart, he said...
  11. Fortilo

    CHALAMILA: Acheni kulaumu wanawake, tafuteni hela, ukijilalamisha ina maana maisha yako bado yako chini

    Duh, Nadhan ni utani tu wa Bwana RC wa Dar ksma kawaida yake, Ila pesa zina levels na ukitaka kuingia kwenye league ujipange, level za chini ni karibu kila mtu .. Bilgate kachapwa Talaka ya mipesa na ameogopa kuweka hadharani alihonga how much kuachana na Melinda. Mackenzie alichomoa zaid...
  12. Fortilo

    Ndoa ya Tiras Muange na Phyllis Mutisya kimeumana, Usaliti madhabauni

    Mkuu omba sana .. Ukiwa visionary sana huko mbele na game ya life utayaona .
  13. Fortilo

    Ndoa ya Tiras Muange na Phyllis Mutisya kimeumana, Usaliti madhabauni

    If there is any one thing that can kill an ambitious, Imaginary, determined and a visionary man faster than any Poison, Diseases or physical attack, then it is indeed a jail called Marriage! No great accomplishment has ever been done by a married man....any, you name it... Whatever you want...
  14. Fortilo

    Tetesi: Mkuu wa Wilaya Hai uteuzi wake, Kutenguliwa Kuinusuru CCM kuangukia pua Jimbo la Hai

    Mafue wacha hizi saiasa za hivi mkuu... Game ikishindikana unakubali matokeo
  15. Fortilo

    Ni kwa nini wadada wa kichaga hawana mapenzi ya kweli?

    Hao ni dada zangu mkuu, Njoo tukuozeshe uwe shemeji yangu kaka...
Back
Top Bottom