Mtu amekaa Kwenye ubunge zaidi ya Miaka 5 na uwaziri Miaka 10.Ingekuwa nyumba inajengwa mfukoni tungesema haikuonekana Wakati inajengwa.kujenga siyo dhambi ila dhambi ni Kama hela imepatikana Ktk njia chafu..
Mwanahalisi hili siyo lile hawezi kuandika watuhumiwa wa madawa wa kulevya wengine mabosi wake wamemtafutia nafasi chamani..Conflict of interest and no independence speech...
Moja Kati ya changamoto ya biashara hii ya madawa ya kulevya Ni wahusika kutumia pesa Na vyombo vya habari katika kufunika uovu Wao Na kuchafuana Hama kujisafisha.Pesa hutumika kununua ushawishi kwa umma kwa kufadhili miradi mbalimbali ya jamii Na michezo...My take Kama ushahidi upo naye...
Tatizo lililopo tusipende ndio mzee Tu nakukubali kila kitu lazima tujithaminisha kuwa mradi Una tija Na faida kwetu? Mnataka tuwamilikishe alwys foreigners based on profit explotation Tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.