Haihitaji akili ya form 4 kungamua kwamba HAKIKA DINI MBELE YA ALLAH NI UISLAMU
Angalia ndoa za KIISLAMU
Angalia utaratibu wa FUNGA ndoa utaratibu wa Kutoa Zaid ya mke mmoja utaratibu wa talaqa utaratibu wa Mirathi utaratibu wa maziko
Nakadhalika utagundua kitu
We
Wenda wazimu wawili nani na nani hapo mwendawazimu ni mmoja tu Israeli Wacha wazimu wako huoni yeye ndio muanzishi wa mabalaa yote duniani na khasa Mashariki yakati??
Ukweli ni kwamba kapata kipigo Cha mbwa Koko ndio maana Kwa mara ya kwanza watu wa maeneo ya Gaza wamelala salama bila kupigiwa mabomu Toka taifa teule la Mauaji
Kura 164
Shamsu na Dr Khalid wakagawana 35 Sawa na wajumbe wote wa ZANZIBAR
Kura zilizobaki ambazo zilenda kwa mteule zilikuwa 129 hizo ni za Watanganyika
Ni hayo tuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.