Recent content by ForexTrader

  1. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kukopa na kujenga

    Mfano nimepanga kila mwezi kodi 200,000 salary take home haifiki 600k. Je nikikopa na kujenga then 200,000 ya kodi iwe inalipa loan badala ya kupanga nalo ni kosa.
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kukopa na kujenga

    Other things being constant. Je kuna uhakika gani ya kuwa biashara italipa?
  3. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Government of Tanzania should come clean on deterioration in relations with EU

    Mtanzamo wangu tofauti na wewe wawekezaji wengi hawakuwa kwa maslahi ya watanzania. Aliyewekeza kwa kufuata sheria yuko salama.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Hujuma kuu ya kiuchumi: Mchakato wa kuchapisha upya noti chakavu Benki Kuu ya Tanzania

    Generalizations hizo wengine ni damu damu na President wetu.
  5. F

    JamiiForums Tanzania MORUWASA ni jipu Morogoro

    Yaan mamlaka hizi ni shida, unaweza lipia kila kitu uunganishiwe maji wanakwambia usubiri mpaka siku saba za kazi. Can u imagine tunavocheleweshwa kimaendeleo. Surveyor wao anakuja kupima hana hata kipimio anapima kwa miguu. Yaan ni shida nchi hii
  6. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki.

    Mimi ni mwanaume, nimeajiriwa natafuta marafiki popote pale na wa jinsia zote. Lengo ni kubadilishana mawazo na kupeana fursa za maisha kalibuni.
  7. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    Waliomkimbiza ni wazungu mnaowatetea hapa Leo.
  8. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    Suala la lugha si hoja, nakumbuka rais wa Libya alikuwa anaongea kilugha Chao acheni kuwa watumwa. Lugha ni moja ya alama za taifa mbona mnapenda kutukuza vya watu vyenu mnavidharau? Mtu anaona ufahari kuongea lugha za magharibi kuliko za kabila lake. Hapa uzalendo haupo.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    Hakunaga urafiki kati ya mwenye rasilimali na asiyenazo. Hivi why hatuna kikao hata kimoja cha UN kikafanyika kwenye nchi zinazoendelea? Miaka yote tufanyie kwao? Unadhani tunawaingizia pato kiasi gani kwa vikao hivyo? Wachumi wanajua concept hii.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Waziri Mahiga wadanganya dunia, kutohudhuria kikao cha UN kwasababu ya ajali ya kivuko cha MV Nyerere

    Na kama si ruhusa kupeleka mwakilishi basi waziri asingeruhusiwa, acheni maneno mtampangiaje president nyie? Na pia kama nchi tumepoteza nini? Na zilizopeleka marais zimepata nini? Nadhani mleta mada angetuletea vigenzo vya huo mkutano tuone je tulikiuka taratibu?
  11. F

    JamiiForums Tanzania Serikali tuondolee uongozi wa MORUWASA wanakataza wenye mabomba ya maji kutokutuuzia maji tusiokuwa na mabomba hayo

    Wanabiashara yao ya mabomba ndio maana hawataki mteja anunue bomba mwenyewe wao waje wamfungie mita tu.
  12. F

    JamiiForums Tanzania Serikali tuondolee uongozi wa MORUWASA wanakataza wenye mabomba ya maji kutokutuuzia maji tusiokuwa na mabomba hayo

    Tatizo la taasisi hizi hazitaki kubadilika zifanye kazi kibiashara. Mfano Dodoma kuna hii inaitwa Duwasa yaani badala ya kufanya jitihada za kitafuta wateja wapya wenyewe wanazingua tu. Imagine mteja anataka kuunganishiwa maji anazungushwa zaidi ya miezi mitatu. Surveyor wao sijui wakoje ni...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuuza Bidhaa EBay na Amazon

    Skrill netller
Back
Top Bottom