Recent content by Ford Rwahura

  1. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

    Soma tena. Wao wana vipaji
  2. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

    Soma tena
  3. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

    Wana kipaji
  4. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Unamuomba Mungu maisha marefu wakati huna pesa utakula nini?

    Huna kazi, huna biashara, huna urithi, huna pesa, hujasoma UDSM, huna ujuzi wowote, huna mzazi tajiri, huna kipaji halafu unamuomba Mungu akupe maisha marefu, sasa utakula nini?
  5. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

    Mkuu me nimezoea kuweka free kwenye hizi gari za automatic kwenye mteremko mwepesi. Kuna madhala yoyote?
  6. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Kipi bora kubadilisha oil kwa kuangalia muda au kwa kuzingatia mileage?

    Nashukuru sana. Nimekuja kula madini hapa. Natarajia kununua Kigari sasa naanza kuvuna akili kabla ya kumiliki 😁😁
  7. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Waliochaji Rushwa ya Tsh 30 Billion, Kisha Kumfungulia Huyu Mama Kesi ya Uhujumu Uchumi, Washughulikiwe

    Tutafika Kanaani nchi ya ahadi tukiwa tumechoka.
  8. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue ubora na udhaifu kati Toyota Kluger na Harrier new model

    Humu Kuna watu sio mabahiri wa mawazo. Wako tayari kusaidia mpaka unaelewa.
  9. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Naomba nijue ubora na udhaifu kati Toyota Kluger na Harrier new model

    Ni gari la heshima shida ni bodi lake ni karatasi. Ni kama Nissan Xterra
  10. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Toyota Raum yangu

    Aisee. Mwenzenu napata elimu tu. Maana haka kagari nakaota usiku na mchana. Kama sio hiyo basi niibuke na Premio.
  11. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Toyota Raum new model

    Kwa walio wengi bado watafurahi hivyo ni muhimu kubana matumizi. Shida ni hawa washauri wa pembeni wasiojua
  12. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Gari: Toyota Raum

    Unatoa ushauri mzuri ili mtu aamue
  13. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenye gari binafsi inayokwenda Bukoba sasa hivi

    Hilo nalo wazo. Sema umelishitukiza. Ujue ni ngumu kupata ghafla mtu anayeenda unakotaka. Labda ungetoa taarifa mapema huenda angepatikana anayeendana na safari Yako
  14. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Nasikitika sijapata maana kamili ya vikuku vilianzia wapi.
  15. Ford Rwahura

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Nina miaka 40 sina familia, nyumba, kiwanja /shamba wala mradi wowote japo nimeajiriwa Serikalini

    Kwa kuwa umetambua tatizo lako, Anza kutafuta Ni wapi unapokwama, shida Ni Nini inayofanya usiwe na hayo yote uliyoainisha! Miaka ya kuajiriwa ina kikomo, ajira ulipaswa kuitumia Kama ngazi ya kupanda kuelekea mafanikio, ila Kama ajira haikusaidii, jiulize, mbona wengine walio na ajira kama yako...
Back
Top Bottom